Wewe mjinga nini, mie nimesema nini hapo juu? Kumbe hujui hata kusoma?
"Arab contractors hawakuingia mkataba na SUMA JKT kutoa ulinzi. Lakini Arab contractors waliwasub-contract Sino company ya China kujenga ukuta wa bwawa, sio Tanesco."
Mbona unahama hama.. kwani sinohydro ni mlinzi ?
Mkataba uliwapa nafasi serikali itoe ulinzi maana kule ni porini. Na bwawa lilikuwa lina maadui wengi.. ulinzi ni sawa ila sio mambo ya ujenzi wala chakula
Na waliolinda kule sio suma JKT tu.. hata JWTZ walikuwepo.. sasa inakuwaje arab contracor alete jeshi yeye ?