Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

Kwani mtu ukiisha kua mfungwa ukimaliza kifungo unapoteza uhalali wq kufanya kazi?

Kwani Wagner kua na askari kutoka mataifa mengine inapoteza uhalali kua ni jeshi linalotokea Urusi?
 
Mweleze kua kua na Raia wa nchi nyingine kunaiondolea Wagner uhalali wa kua na ya Urusi?
Je anafahamu kua jeshi la USA Lina raia wa nchi nyingine?

Au Wagner kua wapiganaji kutoka nchi nyingine kumepunguza performance yake?
Au mbona Ukraine Kuna mamluki wqnapigana upande wa Ukraine wametokea nchi nyingine?
Tena wala hawapo kisheria.
 
Kwani mtu ukiisha kua mfungwa ukimaliza kifungo unapoteza uhalali wq kufanya kazi?

Kwani Wagner kua na askari kutoka mataifa mengine inapoteza uhalali kua ni jeshi linalotokea Urusi?
Wagner Group halitambuliki kisheria kama jeshi halali la Urusi. Linafanya kazi zake za kijeshi kinyume cha sheria za Urusi.

Unafahamu hilo?
 
Mweleze kua kua na Raia wa nchi nyingine kunaiondolea Wagner uhalali wa kua na ya Urusi?
Je anafahamu kua jeshi la USA Lina raia wa nchi nyingine?
Wagner Group siyo jeshi halali la Urusi. Unazijua sheria za Urusi? Je, unafahamu kuwa kwa mujibu wa sheria za Urusi majeshi binafsi ya kukodi ni uvunjifu wa sheria?

Unazijua sheria na taratibu za kujiunga na jeshi la Marekani?
 
Tatizo umekaririshwa kuwa Russia sikuzote ni wachokozi na USA siku zote ni maraika mpatanishi

Kwasababu ya kukariri kwako na kushupaza shingo, hakuna haja ya majibizano, acha tu tuendeleze kichapo labda uko mbele mtakuja kuelewa
 
Ndugu zao kupingana na ukweli wangu sio kwamba wao wapo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagner Group siyo jeshi halali la Urusi. Unazijua sheria za Urusi? Je, unafahamu kuwa kwa mujibu wa sheria za Urusi majeshi binafsi ya kukodi ni uvunjifu wa sheria?

Unazijua sheria na taratibu za kujiunga na jeshi la Marekani?
Majeshi ya kukodi ndani ya RUSSIA ndio hayaruhusiwi ila nje ya hapo ruhsa

Nandio maana wagner lipo chini ya RUSSIA ila usajili wake umefanyika nje ya RUSSIA kama sijakosea ni BRASIL ama ARGENTINA

Kuna muda sheria pia inapindishwa ili usalama wa taifa uwe sehemu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…