Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

Wagner Group limesajiliwa nje ya Russia kwa sheria ipi na linajiendesha kijeshi ndani ya Russia kwa sheria gani?

Unaongea vitu usivyovijua!
 
Acha kuumia kiongozi maana naonaga unateseka kweli habari ikiendaga kinyume na NATO/MAGHARIBI
 
Wagner Group limesajiliwa nje ya Russia kwa sheria ipi na linajiendesha kijeshi ndani ya Russia kwa sheria gani?

Unaongea vitu usivyovijua!
Narudia tena wargner limesajiliwa nje ya RUSSIA limesajiliwa huko argentina

Kusajili taasisi wargner nje ya RUSSIA hawana shida na wewe hata kama kazi utakua unafanyia ndani ya KREMLIN ama DUMA

Sasa sijuajua unabisha kusajiliwa nje ya RUSSIA ama unabisha nini

Kuhusiana na kufanya kazi wenyewe wameridhia lifanye kazi popote pale maadam halijasajiliwa ndani ya mipaka ya RUSSIA

Wargner halijiendeshi kijeshi ndani ya RUSSIA linapiga mishe zake nje ya RUSSIA kama hapo UKRAINE west afrique kule natunaliombea liione na kongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa hisia ukaharibu kila kitu
 
We mzee wa ok bwana [emoji1787][emoji1787] kwahyo wewe ni intelligent ? Unajua nchi za ulaya na marekani wametoa pesa na silaha kiasi gani kwa Ukraine?

Unajua mercenaries wangapi wapo Ukraine wanapigana dhidi ya urusi? Unajua msaada wa intelligence anaoutoa USA dhidi ya majeshi ya urusi?
Unaelewa kua Ukraine alikua upande wa urusi enzi za USSR? Unafahamu mkataba wa nato na urusi dhidi ya mipaka ya kujitanua kwa NATO kuelekea east?

Tukae tutulie, mtu mwenye nguvu za kijeshi ataonekana, na mtu mwenye nguvu ya mdomo ataonekana... ila kaa ukijua 27% ya ardhi ya Ukraine imeenda, na ndio kwanza operation inakolea.
 
Sawa, lakini haibadilishi ukweli kwamba ni moto wa kuotea mbali!!

BTW hivi jeshi la marekani lina pure americans wangapi?
 
Ok. Kwa mantiki hiyo, Wagner soldiers wanapigana sio kwa sababu wanaipenda na kuitetea Urussi bali ni kwa sababu wanalipwa fedha kwa kazi hiyo ya kuua askari wanaompinga Urussi. Laiti ingelitokea Ukraine angeliwahi kuwakodi hao Wagners kwa donge nono zaidi ya Urussi, basi leo hii ungekuta Wagners wanapigana upande wa Ukraine. Wagners ni money monger hakuna cha uzalendo hapo. Wagners ni lazima watoe adhabu kali na ya kutisha e.g. kukata nyeti za askari wanaotaka au kuonesha dalili ya kujisalimisha na kutelekezwa hapo wajifie kwa kihoro kwani hakuna askari wa Wagner gp. aliyeajiriwa kwa kazi ya kujisalimisha au kutoroka. Askari wa Wagner anatakiwa Afe au Ashinde mapigano na sio vinginevyo. Hata kijana Mtz Tarimo yalimkuta hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…