Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Yawezekana ni kweli, wa kwanza Yesu, wa pili isack newton, wa tatu Karl max na wengineo wengi, hata mapadre walioshika Sheria zao kweli huwa Wana akili sana
 
Sasa kama ukiacha sex na ni mwongo, mlevi, mfitini, sadaka utoi, ibada uendi, wewe ni wa kazi gani? Sex Yenyewe umeacha sababu ulikuwa husimamishi??!!!!
Et jamani dhambi zenyewe zipo nyingi unajichagulia tu mwenyewe, unaweza acha tu hizo zingine ukabaki na sex. SEX FOR LIFE
 
Oa mkuu, ohooo
Nimeoa Mkuu, na nashiriki na Mwenzangu, kile ninachofanya ni kuzuia Mawazo ya Ngono...!

Zile mambo za Umemwona Mwanamke ana Mzigo, then wewe Akili zimeshahama, ushamuona akiwa Hana nguo, ushamwona ukiwa nae kitandani utamkunja Kwa hivi, then Mguu wake utaushikia Kwa hivi, hizo ndo vitu nimekataza Akili yangu kushughurikia navyo.

Mwanamke akitabasamu mbele Yako wewe basi ushapita naye, hizo ndiyo Vitu nimefuta, coz I already know who em I, na Women(Ngono) ndiyo kitu ambacho hutumika Spiritual kuua some few peoples who have got Spiritual power.

Most of the time Wanawake hutumika kuua Nguvu za Kiroho za Wanaune bila hao Wanawake kujua....! Hakuna mtu aliyenifundisha, nimejikuta tu naishi kwenye hiyo Kanuni, then nashangaa kukuta Mtoa Mada akizungumza the same thing.
 
Kuna pastor mmoja mnijeria nilimsikia anasema yeye halali hovyo na mkewe, akatoa mfano wa Ahsuero na Esta akasema zamani wafalme walikua wanawaita wake zao kulala nao kwa siku maalum, sio kila siku tu. Na hiyo ndio ilikua siri ya nguvu zao.
Sahihi, wako Pastors Wakubwa usiku kuamkia Jumapili ya Huduma halali Mkewe, wanakutana Kanisani, na kama akiwa na Mikutano Mikubwa halali na Mkewe siku 3 kabla..!
Na kama anafunga let's say siku 7 basi hamgusi Mkewe Kwa siku hizo 7.

Mwisho wa siku wakiwa kwenye Huduma wanafanya vitu tunavyosoma kwenye Biblia, na Binadamu wa Leo wanasema haiwezekani, sio Nguvu za Mungu, lazima atakua Freemason.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…