Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Unaujua Mwisho wa Mfalme Suleiman....!?
Mwisho wake ulikua mbaya sana kuliko hata mwisho wa Daudi Baba yake.

Ninachofahamu kutokana na maandiko, wale wakeze baadaye walikuja kuwa mwiba kwa Suleiman, ile hekima aliyokuwa nayo awali ikapotea, ukamilifu wake wa awali ukayeyuka na akamhasi Mungu aliyekuwa akimuamini, na baada ya kufariki ile milki ya ufalme ikatawaliwa na aliyekuwa mtumishi wake.

Naomba unipatie elimu zaidi mkuu, sio mjuzi sana katika nyanja hii.

Ilikuwaje?
 
Utakuwa kichaa psychosis,my dad is now in serious pyschosis hakufanya since 2006 after divorce to date.
N.B:huu upuuzi usithubutu sex ipo na ina maana kubwa sana kumaintain akili na mwili.
Mbona mapadri hawapati huo udhaifu.
Angalizo, usije na nadharia kwamba huwa wanafanya kwa kificho.
 
Hivyo ndiyo ilivyokua....!

Kwa Neema ambayo Mungu aliweka kwake, Busara na Elimu yote aliyokuwa nayo, Mungu akiongea na yeye waziwazi, Mungu akijibu maombi yake hata Yale ambayo hakumwomba.....! Alishuhudia Mungu akimtendea waziwazi.

Watu wengi Wanasikia tu Mungu hujibu maombi, Mungu hunena na Watu wake, lakini kwake Mungu aliongea na yeye waziwazi.

Kwa uwezo wote ambao Mungu alimpa lakini alikuja kuangushwa na Wanawake, ndiyo nikasema Wanawake wameharibu Hatima za Watu wengi, wakijua ama bila kujua, ndiyo Msingi wa hii hoja hapa juu ya kujizuia kuwa na Tamaa ya Wanawake/Ngono.....!

Fear women.
 
Nimewahi kukaa miezi mitatu bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke yoyote, sijawahi kufeel chochote, zaidi ya kutokuwa na hamu ya tendo.
 
Nimewahi kukaa miezi mitatu bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke yoyote, sijawahi kufeel chochote, zaidi ya kutokuwa na hamu ya tendo.
Unashida kaka na unakula vizuri unapata usingizi vizuri kabisa
 
Sawa Mwamposa.
 
Mbona mapadri hawapati huo udhaifu.
Angalizo, usije na nadharia kwamba huwa wanafanya kwa kificho.
Jibu unalo na kuongezea wengi wao ni wapiga nyet* wazuri tu kuna kashfa ishatokea vatican kwamba wanaongoza kuangalia porno.
 
Jibu unalo na kuongezea wengi wao ni wapiga nyet* wazuri tu kuna kashfa ishatokea vatican kwamba wanaongoza kuangalia porno.
Achana na hao wazungu wa Vatican, lete mfano kutoka hapa Tanzania kama unao, usiniletee story za vijiweni.
 
Unashida kaka na unakula vizuri unapata usingizi vizuri kabisa
Niliamua kujikontroo kukaa muda wa mizei 6 bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke nikaahirisha kufanya hivyo baada ya kuona naenda kuathirika kisaikolojia miaka ijayo.
 
Niliamua kujikontroo kukaa muda wa mizei 6 bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke nikaahirisha kufanya hivyo baada ya kuona naenda kuathirika kisaikolojia miaka ijayo.
Mimi naamini uponyaji hutokea ila hutofautiana baina ya mtu na mtu, na hii hutegemea umeathirika kwa kiasi gani NOFAP ni kweli na ina saidia sana sana na ni ngumu kujigundua ama ona mabadiliko chanya kama hufwatilii kwa ukaribu.
 
Achana na hao wazungu wa Vatican, lete mfano kutoka hapa Tanzania kama unao, usiniletee story za vijiweni.
Hapa kwetu hatuna mapadri sasa mtu ana mke na watoto na kama unajibu lako baki nalo tafuta mwenzio muanzishe mdahalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…