Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Anayekupinga achana nae wengi hawaishi mjini. Mtu anakaa dodoma bar kama bambalaga hapajui.
Anakaa morogoro hajawahi kwenda samaki samaki.
Anakaa dar yeye tips mikocheni hajawahi kwenda, wavuvi anaogopa, samaki samaki kaenda miaka mi3 iliyopita bahati mbaya.
Serena hata juice anaogopa kwenda kuagiza.
Hili somo asiyekuelewa usimjibu. Watu wabishi sana humu.
 
Watakuwa wamekuelewa mkuu.
 
Mwamba alifeli, ingawa alikuwa anatembea na pisi za kawaida sana aka mbovu. Alitakiwa atembee na pisi kama hizi...
View attachment 3230508
Diddy katika kumfahamu kwangu sijawah ona ana mwanamke aina hii, inawezekana kwake wale kina Cassie, Jenny ndio pisi kali. Sasa unataka wote mpende hayo mamizigo alafu sie vimbau mbau nani atupende?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…