Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Hizi sifa zote ni mm kabisa aisee
Cc BICHWA KOMWE - na komwe lako
 
Diddy katika kumfahamu kwangu sijawah ona ana mwanamke aina hii, inawezekana kwake wale kina Cassie, Jenny ndio pisi kali. Sasa unataka wote mpende hayo mamizigo alafu sie vimbau mbau nani atupende?
Inashangaza sana, mfano yule mke anayemtesa Will Smith ni wa kawaida sana sana.
 
Mkuu Equation x Embu endelea kuweka tupicha picha😆 kuna picha mbili umetupia hapa ndio mambo yangu hayo. Au hata kama una namba za simu za wadada au mashangazi wa designs hizo embu nitupie inbox...mimi ndio mambo yangu hayo😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…