ππAhsante kwa taarifa...
Kama ni ya kutoka moyoni usingewapanga wenzako wawe hivyo ulivyowaambia. Waache wenyewe waone kama huyu anastahili kuhudumiwa na huyu hastahili. Unawafundisha wao ndo wahongwe...nyie vijana wa siku hizi useless kabisaHuduma huwa ni matokea ya kutoka moyoni
ha ha ha expert
Daah aisee tabu kwelikweli ππZinatushughulisha sana π π
Mimi mpaka na uzee wangu huu, wadada wananihongaKama ni ya kutoka moyoni usingewapanga wenzako wawe hivyo ulivyowaambia. Waache wenyewe waone kama huyu anastahili kuhudumiwa na huyu hastahili. Unawafundisha wao ndo wahongwe...nyie vijana wa siku hizi useless kabisa
Kwa lugha nyingine ni kwamba umeniweka kwenye kichupa cha energy...
Sssaaasssaa je! Kwangu huchomoki ng'oπKwa lugha nyingine ni kwamba umeniweka kwenye kichupa cha energy...
Kulowa na jinsi ya kijani hell noππππUsife na wala usilowane π
Dah!! Uzuri wake najua nipo safe house...Sssaaasssaa je! Kwangu huchomoki ng'oπ
We unapenda ya rangi gani?Kulowa na jinsi ya kijani hell noππππ
πππππΊDah!! Uzuri wake najua nipo safe house...
Siyo zile za serikali hapana, zile za private...
Huna tofauti na demMimi mpaka na uzee wangu huu, wadada wananihonga
Muhimu kuzingatia hiiDah!! Uzuri wake najua nipo safe house...
Siyo zile za serikali hapana, zile za private...
Huo ni mtazamo tuHuna tofauti na dem
Mwanaume unahongwa vipi huoni aibu?Huo ni mtazamo tu
Blue (dark na light), nyeusi na faded grey.We unapenda ya rangi gani?
Kwa hiyo siku hizi mnataka kupewa bure kabisa na haya hamuoni πHuduma huwa ni matokea ya kutoka moyoni
Mwanaume unahongwa vipi huoni aibu?
Sio kitu cha ajabu mwanamke kutumia pesa yake kwa mwanaume anayempenda. Inatokea sana tu. Lakini ile kujiweka ahongwe kama unavyowafundisha wenzako...mna umama ndani yenu.Mgawanyo wa majukumu, ni muhimu pia mwanamke kutumia sehemu ya pesa zake kulinda mahusiano kuliko yeye tu kutegemea hela za mwanaume ndio zimuwezeshe kuishi mjini.