Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

  • Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho)​
  • Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha​
  • Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka.​
  • Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi​
  • Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe, mfano ukienda sehemu, nenda mwenyewe.​
  • Uwe ni mtu wa kusaidia wahitaji kwa wanaohitaji msaada wako.​
  • Ukiwa na gari kubwa kama land cruiser hivi, itapendeza zaidi​
  • Piga viatu vya ngozi rangi nyeusi, ikiwa travolta itakuwa powa zaidi.​
  • Vaa suruali ya jinsi ya kijani na shati jeupe linaloonyesha vest uliovaa ndani. Kama utakosa jinsi ya kijani, unaweza kuvaa zilizopo.​
  • Ndevu ziwe fupi za kuchana na brashi, ikiwezekana uzitoe kabisa; usifuge mzuzu kama beberu.​
  • Kichwani unaweza kunyoa kipara, au staili ya box​
  • Kichwani, paka mafuta yatakayoonyesha mpaka shina la nywele, ngozi ya kichwa ing'ae.​
  • Usihonge mwanamke yeyote, waache wao wakuhonge kwa sababu watakuwa wanakutafuta kama utitiri kwenye nyumba za ibada, waganga n.k​
  • Achana na wanawake wanao omba omba hela.​
  • Baada ya hapo, kula maisha kama mwanaume halisi anavyotakiwa kuishi.​
Mkuu kibongo bongo kijana under 40 kusukuma land cruiser sio mchezo, ungesema hata allex hivi sio mbaya. Hapo kwenye jinsi ya kijani iyo rangi hapana kwa kweli
 
Hayo yooote ni kuhangaikia papuchi tu ambayo badae wanatuuzia wahuni kwa afu 3 tu.
Achana na hawa..
f9.jpg
 
Sio kitu cha ajabu mwanamke kutumia pesa yake kwa mwanaume anayempenda. Inatokea sana tu. Lakini ile kujiweka ahongwe kama unavyowafundisha wenzako...mna umama ndani yenu.
Wengine tulishaweka utaratibu, utakula hela zetu baada ya wewe kujitoa
 
Sasa huyu mbona ana tumbo kubwa kama pipa. Na ni namba B. Ana ukali gani huyu au mimi ndio sioni!
Halafu usichojua Equation x anampenda kisenge huyo manzi na linaonekana ni jitu toka huko paraguay na Colombia litukunyema fulani hivi lenye plastic surgery za kutosha..
Sasa we endelea kumponda Equation akikudondokea mi simo..
 
Equation X kama upo dar, siku za wikend kazunguke Elements, Samaki Samaki, mlimani na masaki, havoc, wavuvi ndio utajua hata huyo demu anaekusumbua mtaani kwenu akikuzingua unamtupa tu....Kule kuna kila aina ya varieties, wembamba, warefu, wenye chura, wasio na chura, yenye viburi, yenye discipline, malaya wakutosha ambao wakirudi mtaani ni wake za watu na wako very decent..Mkuu acha tu, these women have changed the game kiasi kwamba hata the approach you use to get them inatakiwa iwe tofauti...REMEMBER DON'T START CHASING WOMEN BEFORE YOU ARE FINANCIALLY STABLE...WOMEN DON'T LIKE BROKE ASS NIGGERS...When you are broke stay very far from them, it will be you and your God and the holly book..
 
Kaangalie movie ya tupac all eyes na me nafikiri mule yumo na Janet Jackson alikuwa na kibumbu fulani si poa huyo ni 1992
Mwangalie kwenye nyimbo ya God did, kavaa suruali na bikini, Jlo wa moto bro...Tatizo wabongo wanaenda sana matukunyema, sijui kwanini.
 
Back
Top Bottom