Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #181
sawaBlue (dark na light), nyeusi na faded grey.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaBlue (dark na light), nyeusi na faded grey.
Wanasema mvumilivu hula mbivuKwa hiyo siku hizi mnataka kupewa bure kabisa na haya hamuoni 😅
Mkuu kibongo bongo kijana under 40 kusukuma land cruiser sio mchezo, ungesema hata allex hivi sio mbaya. Hapo kwenye jinsi ya kijani iyo rangi hapana kwa kweli
Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho) Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka. Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe, mfano ukienda sehemu, nenda mwenyewe. Uwe ni mtu wa kusaidia wahitaji kwa wanaohitaji msaada wako. Ukiwa na gari kubwa kama land cruiser hivi, itapendeza zaidi Piga viatu vya ngozi rangi nyeusi, ikiwa travolta itakuwa powa zaidi. Vaa suruali ya jinsi ya kijani na shati jeupe linaloonyesha vest uliovaa ndani. Kama utakosa jinsi ya kijani, unaweza kuvaa zilizopo. Ndevu ziwe fupi za kuchana na brashi, ikiwezekana uzitoe kabisa; usifuge mzuzu kama beberu. Kichwani unaweza kunyoa kipara, au staili ya box Kichwani, paka mafuta yatakayoonyesha mpaka shina la nywele, ngozi ya kichwa ing'ae. Usihonge mwanamke yeyote, waache wao wakuhonge kwa sababu watakuwa wanakutafuta kama utitiri kwenye nyumba za ibada, waganga n.k Achana na wanawake wanao omba omba hela. Baada ya hapo, kula maisha kama mwanaume halisi anavyotakiwa kuishi.
Achana na hawa..Hayo yooote ni kuhangaikia papuchi tu ambayo badae wanatuuzia wahuni kwa afu 3 tu.
Wengine tulishaweka utaratibu, utakula hela zetu baada ya wewe kujitoaSio kitu cha ajabu mwanamke kutumia pesa yake kwa mwanaume anayempenda. Inatokea sana tu. Lakini ile kujiweka ahongwe kama unavyowafundisha wenzako...mna umama ndani yenu.
Nani kakwambia ngonomates wanaachana? ?Tungekutana zamani ungeshaniacha🤣
Aww 😋😋Nani kakwambia ngonomates wanaachana? ?
Wape muda uone kama hawajakutana na mahaba mazito juu zaidi ya mwanzo..
Toa kwanza ndo upate vitamu.Wengine tulishaweka utaratibu, utakula hela zetu baada ya wewe kujitoa
Una pointi, usikilizweMkuu kibongo bongo kijana under 40 kusukuma land cruiser sio mchezo, ungesema hata allex hivi sio mbaya. Hapo kwenye jinsi ya kijani iyo rangi hapana kwa kweli
Huyo n mzeeHizi tamthilia za kifilipino zinaharibu vijana.duh
Sasa huyu mbona ana tumbo kubwa kama pipa. Na ni namba B. Ana ukali gani huyu au mimi ndio sioni!Mwamba alifeli, ingawa alikuwa anatembea na pisi za kawaida sana aka mbovu. Alitakiwa atembee na pisi kama hizi...
View attachment 3230508
Kila kitu na wakati wakehii thread majobless tunaipita tu
Pussy ni zile zile tu na madem ni kama mawinga wa K. koo tu wanauza kwa kuangalia sura ila mwisho wa siku lazima wauze.Achana na hawa..
View attachment 3230581
Halafu usichojua Equation x anampenda kisenge huyo manzi na linaonekana ni jitu toka huko paraguay na Colombia litukunyema fulani hivi lenye plastic surgery za kutosha..Sasa huyu mbona ana tumbo kubwa kama pipa. Na ni namba B. Ana ukali gani huyu au mimi ndio sioni!
Na mimi ntakula kwa mtu wangu 😅😅Wanasema mvumilivu hula mbivu
Mkuu huyu ni mzuri sana ?Mfananishe na huyu
View attachment 3230536
Equation X kama upo dar, siku za wikend kazunguke Elements, Samaki Samaki, mlimani na masaki, havoc, wavuvi ndio utajua hata huyo demu anaekusumbua mtaani kwenu akikuzingua unamtupa tu....Kule kuna kila aina ya varieties, wembamba, warefu, wenye chura, wasio na chura, yenye viburi, yenye discipline, malaya wakutosha ambao wakirudi mtaani ni wake za watu na wako very decent..Mkuu acha tu, these women have changed the game kiasi kwamba hata the approach you use to get them inatakiwa iwe tofauti...REMEMBER DON'T START CHASING WOMEN BEFORE YOU ARE FINANCIALLY STABLE...WOMEN DON'T LIKE BROKE ASS NIGGERS...When you are broke stay very far from them, it will be you and your God and the holly book..Mfananishe na huyu
View attachment 3230536
Mwangalie kwenye nyimbo ya God did, kavaa suruali na bikini, Jlo wa moto bro...Tatizo wabongo wanaenda sana matukunyema, sijui kwanini.Kaangalie movie ya tupac all eyes na me nafikiri mule yumo na Janet Jackson alikuwa na kibumbu fulani si poa huyo ni 1992