Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

Mi nilimchana chana nguo za shule nikabaki na boksa t-shirt na jeans kadhaa maana siyo yunifom za shule.
 
Expert wangu nina mvi za kutosha naona combination ya baba na mama jumla yake imesoma kwangu😂😂
Mtaalamu sjui tunatofautiana mie niko kwenye forties lakini sina mvi hata moja nywele bado nyeusi tii. Ajabu kwenye ndevu ndio naona mvi tena ni kidevuni nazo si nyingi zipo kama mbili au tatu.

Itakuwa umerithi maana kuna watu wana miaka 30 kichwa chote mvi
 
Kuna jamaa alikuwa na mvi tangu akiwa na mwaka mmoja.
Alikuwa kama trump au Lowasa.
 
79 si una miaka 45 tu? Mbona kama mvi zimekuja mapema sana?

Mimi principle yangu ninayotumia kama MTU huna uwezo was kunizaa, sikuamkii shikamoo, maana unaweza kuta watu umewazidi umri shikamaoo, (au wanafikiri umewazidi umri wakakushangaa)
Na wa 1980 awe na miaka mingapi!? Hesabu imekuwa ngumu kiasi hicho!?
 
Hii salamu ibadishwe iwe kama ya English.
Shikamoo inashusha thamani na utunwa mtu sometimes.
Mie ukiniona niamkie cheichei aloo
Ukija zenji hata hujawahi kusoma kiarabu utajua tu Asalam Alaykm
Huku kumskia mkristo anasalimia Asalam alaykm, waalaykm Salaam ni kawaida tu
Au itaskia akiulizwa vipi hali yako anajibu Alhamdulillah, kusema Insha'Allah au MashaAllah kawaida tu halafu mara moja wana adopt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…