Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Sasa unafikiri rectal probe ya ultrasound na kidole bora nini?!
Uzuri hayo yote yanafanyika kwa faida ya mgonjwa.
Kikubwa ni kuomba mungu akuepushe na maradhi, ila ukitingwa, hicho kidole wewe ndio utakililia ili upate suluhisho la tatizo lako.
Ndugu yangu, mimi nina personal experience na nilimweleza daktari kuwa wanaume wa kiafrika huwa hawaruhusu mtu kuingiza kidole huko kwa chinova.

Turudi katika suala lako, Nakubaliana na wewe kuwa kama ndiyo njia pekee. Ila Ukweli si kuwa ni njia pekee. Hii ni njia ya kizamani ila ni unyanyasaji wa wanaume. Imagine daktari anakuamrisha inama. Si sawa wakati kuna hiyo ultrasound, unapima PSA katika damu etc, kidole cha nini?

Akinamama huwa wanafurahi sie waume zao tukinyanyaswa ndo maana mleta mada anashadidia kWa vile sisi huwa tunawaingiza huko madushe. Ni kisasi tu. Ndiyo maana wanawake wanawapenda mashoga, si kuwa wanafurahia wafanyavyo ila ni kuwa wanatukomoa, kuwa na wenzenu nao chamoto wanakipata
 
toka huu mwaka uanze hii mada imenichekesha sana mpaka kutoa machozi si kwa picha na komenti hizo by the way hii ni ngumu sana kwa mwanaume aliekamili haswa akiwa hana tatizo husika kwa kiwango cha kutisha...
 
Wanasena Marinda ya kishapitishwa ndole la dokta basi, Utatamani afanye kipimo kila siku. Vidonge iwe njia mbadala kwa kweli.
Kwahiyo yule kiongozi mkubwa aliyefanyiwaga vipimo na baadae upasuaji wa tezi dume mpaka sasa anatamni kuingiziwa kidole cha daktari mara kwa mara?
 
Duh......! Alikukosea kitu gani? Bado anaangalia status zako? So wote hamja-move on. Muanzishe uataratibu wa kupasha viporo, your current spouses are in deep shit.
😹😹😹 Tupashe viporo tena?
Mimi najali afya yake, tume move on lakini sisi sio maadui hivyo kipimo kitamuhusu hata kwa kuvutwa na kamba..!! 😹🀣
 
😹😹😹 Tupashe viporo tena?
Mimi najali afya yake, tume move on lakini sisi sio maadui hivyo kipimo kitamuhusu hata kwa kuvutwa na kamba..!! 😹🀣

Your browser is not able to display this video.
 
Hawajaumwa hao ndugu zako. Wakiumwa wataingiziwa sio kidole tu hata mkono mzima huko nyuma na watabong'oa wenyewe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu uongo huwa mnajazana huko vijiweni kwenu na sio uhalisia.
 
Huyo nae ni Dr tena MD? bas udaktari umeingiliwa.
Lol
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa unafikiri rectal probe ya ultrasound na kidole bora nini?!
Uzuri hayo yote yanafanyika kwa faida ya mgonjwa.
Kikubwa ni kuomba mungu akuepushe na maradhi, ila ukitingwa, hicho kidole wewe ndio utakililia ili upate suluhisho la tatizo lako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona kukililia kidoleee.
Khaaaah
 
Sasa inahusu nini na mashoga hii mada??
Mbona huwa mnapenda kuchanganya mada nyie Waja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…