Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

Asee nilijua utapinga 😂
Thanks

Vipi wewe mtoto wako wa kike apate mume kama wewe ama Mungu amuepushe?😆

😊 naanzia wapi kupinga Jo, nipo obsessed na tuvitu vitu twako fulani hivi 😷

Kama mimi, mmhh kuna roho inajibu YESSSS...

Lakini sasa kwa mbaaali naisikia nyingine inajibu NAHHHH, if you know what I mean
hapo kwenye HAPANA kuna ujambazi fulani fulani hivi 😊 hutaki mwanao wa kike akutane nao, just tryin to be honest here 😉...
 
Hahahha mtoto wangu wa kiume akipata wife mwenye tabia zangu atafaidi sana.
Atakuwa na mke anayekuja na packages kama zote… Mpishi mzuri, mlezi bora, entertainer (mwimbaji na dancer😂) ndani hapaboi hapakeri, mwenye kujua kupeti peti mume (massage kama zote). Ila atateseka maana huwa nina gubu wakati mwingine.
Mda wa kampeni bado uchaguzi ukikaribia tume itaruhusu watu kujinadi
 
😊 naanzia wapi kupinga Jo, nipo obsessed na tuvitu vitu twako fulani hivi 😷

Kama mimi, mmhh kuna roho inajibu YESSSS...

Lakini sasa kwa mbaaali naisikia nyingine inajibu NAHHHH, if you know what I mean
hapo kwenye HAPANA kuna ujambazi fulani fulani hivi 😊 hutaki mwanao wa kike akutane nao, just tryin to be honest here 😉...

Hahaha huo ujambazi nafikiri ndo shida ya wanaume wengi
 
Ndio mkuu,

Binti yangu akipata mume kama Mimi amepata game changer kabisa!!

Nitamwambia "mwanangu umempata mtu aliejitoa mhanga kwa ajili ya familia yako" tulia Tuliii!

Nakumbuka shemeji yangu wa like alimwambia wife muheshimu huyu mwanamme kama baba yako !caz yaani ni zaidi ya Baba coz Hana mengi tunayoyaona Kwa wengine!!

Lakini sijui no pesa zimemchanganya amebadilika sana!!

Namuomba mungu nioe tena!hapa nilikosea!!
 
Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako?

Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
Yes kabisa akatae ndoa na kuoa au vyote
 
Wasipokuwa na hizo tamaa ndio hawatafunwi mkuu
Mwanamke mwenye uwezo wa kujilipia bills zake hua anatafunwa Kwa hiari yake pia hawezi pelekeshwa kizembe lkn unakuta mdada anakaa mjini hana ramani anachojua ni kusumbua masela huyo kila mwenye Hela atapiga ili akidhi mahitaji
 
Oohh, kwahiyo wanaoolewa ni hao wanaoweza kujilipia bills tu, lakini hao wanaosumbua masela hawaolewi siyo
 
Back
Top Bottom