Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Asee nilijua utapinga 😂
Thanks
Vipi wewe mtoto wako wa kike apate mume kama wewe ama Mungu amuepushe?😆
😊 naanzia wapi kupinga Jo, nipo obsessed na tuvitu vitu twako fulani hivi 😷
Kama mimi, mmhh kuna roho inajibu YESSSS...
Lakini sasa kwa mbaaali naisikia nyingine inajibu NAHHHH, if you know what I mean
hapo kwenye HAPANA kuna ujambazi fulani fulani hivi 😊 hutaki mwanao wa kike akutane nao, just tryin to be honest here 😉...