Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Una uthibitisho upi kwamba viumbe vyote viliumbwa?

Ukiwa na nyama[emoji3052] fresh kisha ukaiacha kwa muda ikaanza kuoza wakatokea wadudu kwenye hiyo nyama, Utasema hao wadudu wameumbwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Kwa nini umu exclude muumbaji kwenye uumbaji?

Muumbaji huyo kabla ya kuumba alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Kama muumbaji aliweza kuwepo tu bila kuumbwa, Hata viumbe vipo tu bila kuumbwa.

Ndio maana wadudu(finyofinyo) wanaweza kujitokeza wenyewe tu kwenye Nyama bila kuhitaji muumbaji.

Na kama haiwezekani viumbe kujiumba vyenyewe, Hata huyo muumbaji hawezi kujiumba mwenyewe.
 
Kwahiyo kwenye maisha huna kingine cha kujadili zaidi ya dini?
Vingine vitajadiliwa na wengine, Tanzania ina watu zaidi ya Milioni 60, mimi pekee siwezi kujadili mada za sekta mbalimbali... Mimi leo nimechagua upande huu, wewe pia unaweza kuleta za Siasa tu, au za Kiuchumi tu, au za kivita tu
 
Ndio mnavyodanganywa na wazungu wenu ndio maana hata papa anawaambia anayowaambia maana hamjawahi kuwa na akili na mwamposa na wenzake watarndelea kuwageuza ng'ombe kila siku, haya nendeni mkakanyage mafuta
 
Katika Biblia hiyo ilishatabiriwa kitambo... Siku za mwisho watu watamuasi MUNGU na dhambi zitaongezeka, kwa ambao wanasoma biblia vizuri, hawashituki
Wazungu wameshtukia kama walikuwa wanapigwa , hakuna mungu anabariki mashoga, hakuna mungu watatu na mungu hajawahi kuwa na mtoto, mungu gani anateswa na yeye anamlilia mungu? Does it make sense kweli
 
Unamaanisha nini kusema maneno yake hayafiki moja kwa moja kwa mitume....
Namaanisha waandishi wa Injili hawakuchukua moja kwa moja toka kwa Yesu.

Kwa hali hii, lazima waliyo yanukuu yachunguzwe, yajulikane kweli yametoka kwa Yesu au ni kweli ni mafundisho ya Yesu.
 
Katika Biblia hiyo ilishatabiriwa kitambo... Siku za mwisho watu watamuasi MUNGU na dhambi zitaongezeka, kwa ambao wanasoma biblia vizuri, hawashituki
Kwa hiyo from the beginning mungu alijua kabisa wanadamu watakuja kumuasi na dhambi zitaongezeka akatulia tu?

Akashindwa kudhibiti dhambi zisiongezeke na wanadamu wasimuasi?

Basi Huyo Mungu ni Mdhaifu sana.
 
Yesu neno lake liliandikwa na watu aliokuwa anakesha nao ambao kimsingi ni wanafunzi wake ndio walifanya hiyo kazi ya kuandika Injili. Yesu aliwaamuru wanafunzi wake na wafuasi wake wasambaze injili duniani kote.
Tutajie wanafunzi sita tu ambao walinukuu walinukuu habari za Yesu.
 
Wazungu wameshtukia kama walikuwa wanapigwa , hakuna mungu anabariki mashoga, hakuna mungu watatu na mungu hajawahi kuwa na mtoto, mungu gani anateswa na yeye anamlilia mungu? Does it make sense kweli
 
Mathayo alikuwa ni nani kwa Yesu ? Je alimuona Yesu ? Kama hakumuona Yesu hizo habari yeye au hilo andiko yeye alilipata wapi ?
 
Mimi nakwambia na nakuagiza uchunguze,ukiona aliyekuwa mkristo kabadili kuwa muislam,lazima awe na akili zenye mushkeri.

Mkristo timamu kabisa anajua kwamba siku za mwisho wafuasi wa kristo watakuwa wachache sana,na waliopotea watakuwa makundi.
 
Reactions: 511
Wazungu wameshtukia kama walikuwa wanapigwa , hakuna mungu anabariki mashoga, hakuna mungu watatu na mungu hajawahi kuwa na mtoto, mungu gani anateswa na yeye anamlilia mungu? Does it make sense kweli
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Kwani hapo jamaa kakosea nini hadi umekuja kwa hasira hivi!?
Sijawahi kuwa na hasira na makafir ila makafir huwa wanasumbuliwa sana na dini ya haki kila siku lazima warushe uzi zaidi ya mmoja kuhangaika na uislamu ila hukuti muislamu mwenye muda huo,dini yetu imejotosheleza and we are very proud, hushangai hadi kufunga tu ramadhani pia makafir wanapna wivu kama kwaresma hakuna?
 
Swali langu, lipo hapa, wewe umejuaje kama maneno hayo aliyasema Yesu ?

Mathayo maneno haya ameyapata toka kwa nani ?
 
Ndio mnavyodanganywa na wazungu wenu ndio maana hata papa anawaambia anayowaambia maana hamjawahi kuwa na akili na mwamposa na wenzake watarndelea kuwageuza ng'ombe kila siku, haya nendeni mkakanyage mafuta
Hao unaowataja hawapo kwenye Biblia na wala matendo yao hayatafsiriwi kama maandiko ya Biblia... Mwamposa na Papa ni wakristo kama wakristo wengine tu, na wala biblia haijaandika ukuu wao... Ukristo maana yako ufuasi wa mafundisho ya Yesu kristo na sio ufuasi wa mwamposa au Papa... Papa na Mwamposa ni wafundishaji tu wa maandiko ya Yesu Kristo, kama walivyo kama Binadamu wengi katika kazi yao wanaweza kuteleza katika ufundishaji na kukosea mafundisho
 
Mimi nakwambia na nakuagiza uchunguze,ukiona aliyekuwa mkristo kabadili kuwa muislam,lazima awe na akili zenye mushkeri.

Mkristo timamu kabisa anajua kwamba siku za mwisho wafuasi wa kristo watakuwa wachache sana,na waliopotea watakuwa makundi.
Hivi mtu anayeamini kuna mungu watatu na anayeamini atapona kwa kukanyaga mafuta hao si wakuwaonea huruma kabisa
 
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Acheni ujinga, ithibati haiji kitoto hivi. Thibitisha ya kuwa Mungu hajawahi kuwepo na utuambie umejuaje ?

Na kitu ambacho hakijawahi kuwepo unakidiriki vipi ? Au unaandika tu mambo pasi na kufikiria ?
 
Maana yake matini ya neno kwa neno ya Taurati hakuna, bali Kuna kumbukumbu. Kumbukumbu ambazo lazima zihakikiwe ili ziweze kutumia.

Swali la msingi, ni nani alizihakiki hizi kumbukumbu na kuzipa hadhi ya kutumika na kuwekwa kwenye mikusanyiko wa vitabu vingine na kuwa Biblia ?
 
Akili kisoda, umeshupaza shingo na huu ujinga nyambafu
US na Europe wana dini zao
Asia wana dini zao
South America wana dini zao
Africa kuna nyani aliyechangamka kushupaza shingo na dini za wengine

View: https://www.youtube.com/watch?v=C_wnGga6YUU
 
Ulisema Musa ndio aliandika na muda huo huo mnasema ni Kumbukumbu la Taurati hili si sahihi.

Kwa mujibu wa maelezo yako, inaonekana nyinyi wakristo hamjikiti sana katika kujua uhakika wa maandiko na wapi yametoka, na kujua lipi sahihi lifatwe na lipi si sahihi lisifatwe.
 
Acheni ujinga, ithibati haiji kitoto hivi. Thibitisha ya kuwa Mungu hajawahi kuwepo na utuambie umejuaje ?

Na kitu ambacho hakijawahi kuwepo unakidiriki vipi ? Au unaandika tu mambo pasi na kufikiria ?
Hakuna uthibitisho wowote wa kuwepo Mungu kwa vile Hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Huu ni uthibitisho tosha kwamba hayupo.

Ukiweza thibitisha yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…