Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
How many stomach are there in Tanzania?Utazifanya nn ili zisioze? Nilitegemea kwenye hitimisho lako useme utajenga kiwanda, lkn kumbe na wewe unauliza swali. Sasa hiyo jeuri ya kusema parachuchi zako hazitaoza unaipata wapi?
Kwani machungwa hayaozi? Je wameyafanyia nini?
Wakati wataalamu wa lishe wanatabiri kuongezeka ulaji wa matunda halafu sisi tusimamishe uzalishaji.
Ni hivi hakuna uzalisgaji unaotosha kulisha kiwanda cha maana hata mwezi.
Hakuna uzalishaji mkubwavwa parachichi TZ. Kupata hekta 1000 tu zilizokaa pekeake ni kazi.
Suala nitafanya nini siwezi weka hapa, kimsingi tu mwenye akili timamu hawezi ruhusu mzigo wake uoze bali mwehu tu.
Zikianza kukomaa utaona strategy yangu, nitakushirikisha wala usihofu.
kitu kikubwa sana ni kuhamasisha wakulima watoe product nzuri.
Mkuu ten years tocome utashsngaa sana yatakayotokea katika Avocado industry.
Kumbuka Avocado inapandwa na watu wa kila status sio kama pamba.
Fursa hutokea kwa waliothubutu.