Kama wewe hushiriki hiyo novena, shida yako ni nini? Kwamba Mungu hataisikiliza? Unakosa usingizi kwa hilo?Ulimi huo huo unalaani na huohuo unaomba baraka za Mungu? Ni vigumu sana kupata majibu hata ukiomba Novena
Yak 3:9-10
"Kwa huo twamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo twawalaani wanadamu waliofanywa kwa mfano wa Mungu. Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haifai mambo hayo kuwa hivyo.
Wasabato mnaomba mkiwa kwenye Mapango?Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Huyo jamaa ni Msabato asiyejielewaNje na ulokole ulio nao ulipaswa uwe mchawi wewe bibi yaani wewe na Bi faiza foxy mnakula kichwa.
Toka enzi na enzi maombi ya namna hiyo(kitaifa/kanisa) yalikuwepo
Na hapa naweka mifano michache tu ....na kulingana na utandawazi wa sasa lazima vyombo vya habari kwa Aina zake vitumike.
1.Kutoka 14 na 15 – Waisraeli walipovushwa bahari ya Shamu, taifa zima lilimwomba na kumsifu Mungu kwa wimbo wa Musa na Miriamu (Kutoka 15:1–21).
2. 2 Mambo ya Nyakati 6–7 – Wakati Sulemani alipozindua hekalu, alisali sala ndefu ya kitaifa kwa niaba ya Israeli lote. Taifa lote lilishiriki ibada hiyo, na Mungu akajibu kwa kuteremsha moto na utukufu wake (7:1–3).
3. Ezra 9 na Nehemia 9 – Baada ya kurejea kutoka utumwani Babeli, watu wote walikusanyika, wakaungama dhambi zao kama taifa na kumwomba Mungu warekebishwe. Hii ilikuwa toba ya pamoja.
4. Yona 3 – Ingawa si taifa la Israeli, tunaona mfano wa taifa lote la Niniwe kufunga na kumwomba Mungu baada ya onyo la Yona, na Mungu akawasamehe.
5. Yoeli 2:15–17 – Nabii Yoeli aliagiza tarumbeta ipigwe ili taifa lote liitwe kwa kufunga na kuomba rehema za Mungu.
Kwa hiyo, maombi ya taifa zima yalikuwa jambo la kawaida hasa wakati wa hatari, dhambi ya kitaifa, au ibada maalum ya agano.
Hujanielewa. Mada yangu inawahusu wanaoomba novena huku wakijigamba kwa kusema "Kanisa lao ndio mkombozi wa kweli wa Taifa na kwamba sala yao ni "very powerful prayer!" HAYO NI MAJIVUNOSijajua kama nimekuelewa ila kama unasoma vizuri bibilia yako unajua mitume walichokuwa wanakifanya ukisoma Matendo ya mitume sura 6 za kwanza zinaonyesha mitume ambao walijitengeneza mazingira ya kusali na kuna mahali kabisa ilionyesha”a hour of prayer” (Mdo 3)…kujionyesha ni pale ambapo unataka uonekane unasali na iwe kwa majivuno na hiki ndicho Yesu alifafanua kwenye mfano wa mzuri tu kwenye Luka 18:9-14
Maombi yoyote ya umoja hua yanatangazwa nia hata familia yako mkiwa mna jambo mnakaa kwa umoja na mnasali kwa nia moja
Lakini ni Yesu huyu aliyesema mkutanapo wawili au watatu mimi nipo katikati yao
Therefore, sala ya umoja au sala binafsi hainangalii namna unajisemesha ila inaangalia the state of ur heart na ndio maana Roho Mt kazi yake mojawapo ni kutusaidia kuomba kwasababu hatujui kuomba itupasavyo.
Na mbinguni hamuendi hata mkonae na jmosi vipi. Acheni dhambi sio kukazia macho watu wengineSoma mada kwa makini kabla huja-comment
Naomba ujibu hoja za NikifaMke wangu asioleweAcha uongo. Waongo hawataurithi ufalme wa Mungu (1Kor 6:9-10)
wewe unaona nalikataa hapo?Kwahiyo agizo la Yesu unalikataa?
Achana na reference za Jmosi. Yesu aliishaivunja SabatoNa mbinguni hamuendi hata mkonae na jmosi vipi. Acheni dhambi sio kukazia macho watu wengine
Sabato iliishavunjwaWasabato mnashida gani?
Mtoto wa kahaba wewe ,how is that your business ? . Yaani majitu yaliyozaliwa kwenye danguro kama wewe ni laana inayotafuta haki nchi leo hii.Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Wakatoliki hupenda maombi ya kujionyesha sana hasa maaskofu waoNje na ulokole ulio nao ulipaswa uwe mchawi wewe bibi yaani wewe na Bi faiza foxy mnakula kichwa.
Toka enzi na enzi maombi ya namna hiyo(kitaifa/kanisa) yalikuwepo
Na hapa naweka mifano michache tu ....na kulingana na utandawazi wa sasa lazima vyombo vya habari kwa Aina zake vitumike.
1.Kutoka 14 na 15 – Waisraeli walipovushwa bahari ya Shamu, taifa zima lilimwomba na kumsifu Mungu kwa wimbo wa Musa na Miriamu (Kutoka 15:1–21).
2. 2 Mambo ya Nyakati 6–7 – Wakati Sulemani alipozindua hekalu, alisali sala ndefu ya kitaifa kwa niaba ya Israeli lote. Taifa lote lilishiriki ibada hiyo, na Mungu akajibu kwa kuteremsha moto na utukufu wake (7:1–3).
3. Ezra 9 na Nehemia 9 – Baada ya kurejea kutoka utumwani Babeli, watu wote walikusanyika, wakaungama dhambi zao kama taifa na kumwomba Mungu warekebishwe. Hii ilikuwa toba ya pamoja.
4. Yona 3 – Ingawa si taifa la Israeli, tunaona mfano wa taifa lote la Niniwe kufunga na kumwomba Mungu baada ya onyo la Yona, na Mungu akawasamehe.
5. Yoeli 2:15–17 – Nabii Yoeli aliagiza tarumbeta ipigwe ili taifa lote liitwe kwa kufunga na kuomba rehema za Mungu.
Kwa hiyo, maombi ya taifa zima yalikuwa jambo la kawaida hasa wakati wa hatari, dhambi ya kitaifa, au ibada maalum ya agano.
Matusi hayo halafu unatarajia sala yako ndefu itajibiwa?Mtoto wa kahaba wewe ,how is that your business ? . Yaani majitu yaliyozaliwa kwenye danguro kama wewe ni laana inayotafuta haki nchi leo hii.
Rubbish
Uko sahihi mia kwa miaMaombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.