Ukweli Mchungu: Rais Samia hupendwi na Wananchi wengi

Hakika !
 
Muda Bado upo kidogo kuelekea 2025 ukiamua kubadilika unaweza, ukiamua kupuuza haya ni Sawa tu.
Lakini kama Hali itakwenda hivi Hadi 2025 mtaleta machafuko baada ya uchaguzi. Hatupendi hayo.
Abadilkke wapi bandari ishaenda...!?
 
Hivi unajua kuwa makataba kwenda bungeni ni baada ya kuvujishwa na wananchi kuupigia kelele
 
Anachukua chake mapema na kuwekeza Zanzibar,muungano utakapo vunjika wa Zanzibar wawe na kitu,wakati watanganyika wanahangaika kufukia mashimo kwa kulipa madeni.
 
Kwanza sio lazima wengi wampende,wenye akili wachache wakimpenda inatosha sana..

Pili inajulikana mazingira ya mfumo dume hapa Tanzania,upande anaotokea,dini yake na jinsia ni sababu kubwa.

Pia ni athari za propaganda za Jiwe kwenye jamii Bado zipo ila ukweli mwingine mchungu ni kwamba Rais Samia ndio amefanya mambo makubwa kuliko Marais wenu wote mnaowajua ukimtoa Nyerere.

Mwisho kupendwa au kutopendwa ni subjective,Kwa mfano ccm inaenda na Samia wanaoitwa Watzn watamchagua nani? Lisu au?
 
Sio wengi ni wote

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Acha uongo,binafsi huyu ndio Rais ambae ninamkubali na kumpenda kuliko wote nilioishi kipindi Chao na wale niliowasoma.

Wa pili ni JK na WA 3 ni Mwingi.
Kiufupi Mimi ni mkristo ila nimekuja kugundua wengi ni Washenzi na wavudugaji wa Maisha..

Nina sababu Bilioni za kumpenda Samia na kuwadis hao wengine
 
Ni kweli, chawa tunataabika
 
Ukishakuwa upande wa wezi na wapoka haki unategemea nini? Nobody can stop reggae!!! 🤣
 
Na huu ndio ukweli.

Wanaoenda kwenye mikutano wengi wanakusanywa na RCs,DCs,Wabunge n.k tena kwa pesa ndefu.

Mama amekosa mvuto.
Kinachofanya watu wasiende kwenye hiyo mikutano ni ule uchaguzi wa kuhayawani wa 2020 chini ya dhalimu. Viongozi wengi hawakuwa na ridhaa ya umma, ndio maana wakiitisha mikutano watu hawatokei. Na madhara ya utawala wa dhalimu yataendelea hasa kwa watu kutojitokeza kwa wingi tena kupiga kura. Machafuko pekee ndio yatarejesha heshima ya utawala hapa nchini.
 
Sioni tena wapiga kura wa maana kwenye chaguzi zetu. Watu wengi wamepuuza rasmi chaguzi zetu kutokana na kutoheshimiwa kwa kura zao. Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na wapiga kura wachache mno kutokana na mwenendo wa dhalimu kwenye demokrasia yetu kuanzia 2016 na kuendelea.
 
Sawa si hampendi basi tukutane 2025 jinsi atakavyopita kwa kasi ya 7G
Sio kwa njia ya uchaguzi, maana Tanzania hakuna uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Rais wa ccm hategemei kukubalika au kutokukublika kwa wananchi sababu kipindi cha uchaguzi atashinda hata kwa goli la mkono refer magufuli 2020
 
Anapendwa na kikokotoo
 
Umeandika ujinga!

Huyo unae msema watu walikuwa wanajazana kwenye Vibanda kusikilizà hotuba zake. Hadi anakufa watu wamejazana kulia kila Kona. Hadi Leo wanamililia.
 
Samia anaponzwa na nape pamoja na Makamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…