Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

Dr kichwa Yako Huwa nahisi ipo alcoholic mda wote , nikiwa mkubwa natamani niwe kama wewe
 
suluhisho la haya yote ni nin sasa?
Sheria ya ndoa ifanyiwe upasuaji wa moyo. Kwanza iendane na mtindo wa maisha wa kisasa wa fursa sawa baina ya mwanaume na mwanamke kwenye kila nyanja pia mwanamke nae aangaliwe kama potential predator. Sheria tuliyonayo imempa mwanamke status ya malaika yaani imemchora mwanamke kama kiumbe ambar hawezi kuwa na ajenda ovu
 
Umezidi kujidhihirisha kuwa wewe ni mwalimu mashaka yangu tena wa Kata.

Mwanaume mwenye sifa ulizojaribu kuziainisha hapo juu unazo hawezi fanya upuuzi huo kutaka kujionyesha sana ana kitu haya hufanya wale failure,kudhani kuambiwa walivyo (mf:wewe kuitwa mwalimu) ni kuwashusha sana hadhi.
 
Angalao kuwe na fair playing ground, yaani mambo yakiaribika kila upande uendelee na maisha yake salama bila majeraha ya kiuchumi. Hii sheria ya kutaka mwanaume aondoke kwenye nyumba yake ampishe mwanamke ambar hajachangia hata tofali moja ni chungu sana. Kwa sababu wewe ni mwanamkr unaweza ukaona ni sawa mpaka mpaka situation hiyo itakapomkuta kaka ako au mtoti wako wa kiume.

Sheria iseme baada ya talaka kila mmoja anabaki na mali yenye jina lake la umiliki na mzazi mwenye uwezo wa kumudu gharama za malezi ndie atabaki na watoto.
 
Sawa kiongozi NAKUSALIMIA.
Umekula lakini??
...na NIMEJIONESHA NINI??

SIJAELEWA

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mimi msimamo wangu ni kuwa ndoa Haina ulazima .....
Kuhusu Sheria zinaweza kubadilishwa au kurekebishwa na mamlaka husika indapo wanaume mtapaza sauti kwa sababu hata sisi wanawake hatukubaliana na Sheria kandamizi.
Pia ni vyema mwanzo wa ndoa kabisa kila mwanandoa akaandika Mali zake kurpusha migongano huko mbele.
 
NDOA NI UTAPELI. KATAA NDOA
 
Binadamu hubadilika ikiwa mmoja wapo kabadilika.....
Usiniambie wewe mume sasa una madili ya mamilion halafu hunimwagi maji??? Uko bize na vimada huna muda wa kukaa na familia? Halafu mie nisibadilike??? Huo ni mfano tu.
Mtu mwenye madili ya mamilioni most likely muda wake wa kukaa na familia itapunguzwa maadili hayo.
 
Sawa kiongozi NAKUSALIMIA.
Umekula lakini??
...na NIMEJIONESHA NINI??

SIJAELEWA

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unazidi kujidhihirisha elimu huna pale juu si uliweka mlolongo wa vyeti ukisema unataka ukaongeze kingine?hayo yote kuna aliyekuwa amekuuliza?

Kingine kumuuliza mtu usiyemjua wala kumuona habari za amekula au hajala tena kwenye screen ya artificial device huku ukijua akisema amekula hakusaidii akisema hajala huwezi kumtumia chakula huu nao ni ukosefu wa maarifa.stick na mada mezani!
 
Kataa ndoa. Ndoa ni utumwa mamboleo
 
Umenifurahisha
 
Binadamu hubadilika ikiwa mmoja wapo kabadilika.....
Usiniambie wewe mume sasa una madili ya mamilion halafu hunimwagi maji??? Uko bize na vimada huna muda wa kukaa na familia? Halafu mie nisibadilike??? Huo ni mfano tu.
Leo umeamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…