Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Natambua sio lazima na mimi binafsi sijafunga ndoa na wala sina mpango huo, lakini kusema haina ulazima haimaniishi ya kwamba ndio hauwezi kuyaona mapungufu. Sawa ndoa sio lazima, je ni sawa wanawake kuitumia kama mradi ambao unaacha maumivu kwa wanaume?Mimi msimamo wangu ni kuwa ndoa Haina ulazima .....
Kuhusu Sheria zinaweza kubadilishwa au kurekebishwa na mamlaka husika indapo wanaume mtapaza sauti kwa sababu hata sisi wanawake hatukubaliana na Sheria kandamizi.
Pia ni vyema mwanzo wa ndoa kabisa kila mwanandoa akaandika Mali zake kurpusha migongano huko mbele.
Hilo nililikataa! Kazi ya mwanaume baada ya kutunza sperms katika K ya mwanamke, ni kutunza kiumbe kikiwa duniani. Nitatunza changu na naamini kiumbe cha dada yangu au binti yangu; anatunza aliyewekesha hizo Mbegu! Na huo ndiyo msimamo wangu miaka hii yote. Infact ukibeba mimba tu, kwangu ni kituo cha Polisi.Tatizo yakishawakuta ni mabroo na washkaji zao ndio tunabeba jukumu la kuwapiga tafu warudi kwenye mstari. Wanawake hawasaidiagi chochote ndio maana tunalazimika kuwasanua vijana mapema ili badae tusibebeshane shida
Sasa wewe unavyo ""attack mtu personally hujioni umekuwa fal@?""Unazidi kujidhihirisha elimu huna pale juu si uliweka mlolongo wa vyeti ukisema unataka ukaongeze kingine?hayo yote kuna aliyekuwa amekuuliza?
Kingine kumuuliza mtu usiyemjua wala kumuona habari za amekula au hajala tena kwenye screen ya artificial device huku ukijua akisema amekula hakusaidii akisema hajala huwezi kumtumia chakula huu nao ni ukosefu wa maarifa.stick na mada mezani!
Mimi nimefunga ndoa na Ina zaidi ya miaka 14 kama sijakosea...Natambua sio lazima na mimi binafsi sijafunga ndoa na wala sina mpango huo, lakini kusema haina ulazima haimaniishi ya kwamba ndio hauwezi kuyaona mapungufu. Sawa ndoa sio lazima, je ni sawa wanawake kuitumia kama mradi ambao unaacha maumivu kwa wanaume?
Suala la kupaza sauti sio la wanaume peke yao. Hata mwanamkr anaeona muundo haupo sawa anaweza kupaza sauti maana mwanaume sio boyfriend au mumeo tu. Hata kaka ako, mtoto ako wa kiume nao ni jinsia ME kesho na kesho kutwa wanaweza kunasa kwenye mtego. mfano hizo sheria mnazosema ni kandamizi kwa mwanamke hamkuzipinga peke enu kuna wanaume waliwaunga mkono
Sio kwa dunia hiii.Kikubwa tumtangulize Mungu sana tupendane,tuvumiliane sanaa na tuchukuliane madhaifu yetu
Kwenye comment yako yoote hapa tu ndo nimepapenda leo dadaMwanamke wa kumtia madole na kumfirigisa mbele na nyuma unavyotaka
Umeeleza kwa usahihi na ndivyo ilivyo lakini, lakini….Ndoa ni muhimu!!coz ni a defined structure to true individual life!!
Huwezi kuikwepa at one point!!
Lakini,lakini!!
Fikra za "Hadi kifo kikutenganishe "ni fikra dhaifu!coz Kuna kipindi mtatofautiana !na muda ukifika Bora kuachana for good!!
Swala la mali Kwa sisi wanaume was ukweli kabisa,Mali halisi tunazomiliki ni hizi:-
1.nguo tulizovaa!!
2.chakula tunachokula wakati huo!
3.na Ile pesa iliyo Kwa akaunti au mfukoni!!hiyo pesa ikishakua material TU na huku una familia basi siyo Yako tena!!
4.Mwanamke unae Fanya nae tendo kwa wakati huo!nae ni Mali yako Kwa wakati huo!
Sasa kuanzia majumba,magari,mashamba n.k!yanabeba jina lako tu!lakini practically is for family na tufani ikija lazima utoswe for the good of the family!!
Binafsi maisha yangu hayana kituo kabisa!nikiona it's over !then naoa tena Kwa hitaji la muda usiotabirika mbeleni!!
KAKA UKISHA ZAA NA SLAY QUEEN TU TAYARI, JIANDAE KISAIKOLOJIA, HUWA NAWAANGALIA BAADHI YA JAMA ZANGU NABAKI KUSALI TU, ETI DEMU UMEMZALISHA SI MKE ANATAKA KILA SIKU UMTUMIE HELA, YEYE TIKTOK, INSTAGRAM, FB, MPAKA UNAJIULIZA HIVI HUYUTatizo yakishawakuta ni mabroo na washkaji zao ndio tunabeba jukumu la kuwapiga tafu warudi kwenye mstari. Wanawake hawasaidiagi chochote ndio maana tunalazimika kuwasanua vijana mapema ili badae tusibebeshane shida
KAKA HUYO RICARDO KAKA, MKEWE ALISEMA WALIISHI VIZURI SANA, ETI AMEAMUA KUVUNJA NDOA SABABU KAKA NI MPOLE NA HAMPI HEKAHEKA HIVO AMECHOKA KUISHI NAE, ANATAKA KUONDOKAWajinga wandoa wote hebu fanyeni tafiti xamaisha ya mchezaji aitwaye Ricardo kaka yandoa ukipata ukweli rudi kwenye uhalisia wa maisha utakayo kwenye ndoa
Slay queen,wanawake wanaojichubia,wenye kelele,wanaopenda maisha ya juu wakati kwao ni hoe hae sio wa kuoa haoKAKA UKISHA ZAA NA SLAY QUEEN TU TAYARI, JIANDAE KISAIKOLOJIA, HUWA NAWAANGALIA BAADHI YA JAMA ZANGU NABAKI KUSALI TU, ETI DEMU UMEMZALISHA SI MKE ANATAKA KILA SIKU UMTUMIE HELA, YEYE TIKTOK, INSTAGRAM, FB, MPAKA UNAJIULIZA HIVI HUYU
Kuna MUDA unakuta DEMU mlala hoi TU kazqliwa familia duni Haina mbele WALA nyuma lakini eti NAE ANATAKA expensive life hasahasa mademu wa zAnzibar nilikuwaga najiuliza mbona HAWA talaka ni nyingi na masingo Maza ni wengi ili hali HUKU dini IPO, mkuu wanapenda MAISHA ya gharama ALAFU kibaya hawana ujanja WA kuingiza helaSlay queen,wanawake wanaojichubia,wenye kelele,wanaopenda maisha ya juu wakati kwao ni hoe hae sio wa kuoa hao
Wanaume wapumbavu ndio wanaowaendekeza wanaishia kujuta,kuoa mwanamke asie na akili
Umeongelea mtindo wa maisha ha zamani kidogo, kimsingi ndio mti do wa maisha uliofanyiwa rejea katika kutu ga sheria ya ndoa tuliyonayo sasa. Mwanamke anaolewa akiwa bado mdogo, ana-sacrifice career au potential yake ili awe mshirika kwenye maono ya mwanaume. Kwa mtindo huu ni fair kabisa akipata 50% ya mali zilizochumwa ndoa endapo ndoa ikavunjika. Case study ulioongelea ni sawa lakini ni katika mlengo wa mtindo wa maisha ya zamaniMimi nimefunga ndoa na Ina zaidi ya miaka 14 kama sijakosea...
Hakuna mwanamke anaye tumia ndoa kama mradi baada ya kuachana na wengi hawapendi
Hili suala la mradi nalijibu hivi kwa mawazo yangu na si kisheria maana sina taaluma hiyo....
Mwanaume ana miaka 30 anaoa Binti wa miaka 18 na baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 8 inatokea mizozo na mnaachana!!!! Hapo wa kuonewa huruma ni binti kwa sababu kwa umri wa mwanaume miaka 35 ni wazi alijiandaa kwa ndoa huku huyu Binti wa miaka 18 - 23 hakuwa amejindaa bali alivishwa majukumu pengine hata asiyoyajus maana yake ni Nini???
Nadhani hata watunga Sheria za ndoa Kuna mengi ambayo waliyachambua na kuja na maamuzi yaliyopelekea Sheria zitungwe.
Kiukweli wanawake wanatumika mnoooo!!!!
Hivi unaijua uchungu wa kuachwa na watoto wewe!? Maumivu mitazamo ya jamii....
Wanaume wan unyanyasaji wao ambao huumiza sana wanawake hata kuwateteea ni ngumu mnooo...
Mfano unataka tutetee wanaume ambao
1. Mimi nazalisha nalea tu sioi
Hivi unaujua uchungu wa kulea mtoto bila baba halafu mitandaoni eti single Maza wamejaaa
2. Mwanaume mwenye wake wengi na mahawala.
Hivi unaujua uchungu wa kushare wewe
3.Mwanaume hatimizi majukumu
Wewe mwanaume usiyejua kutimiza majukumu... Hivi unaujua ndoa nyingi zilizodumu ni mama ndie kasimama ukibisha hili kamuulize mama yako mzazi...
Kutumia pesa Kama fimbo.
Yaliyomo ndani ya ndoa ni makubwa mnoo wanaume wenye pesa wananyanysa sana wanawake ndani ya ndoa Tena Nina shuhuda japo siwezi kuandika.
Sasa basi kuwatetea wanaume ni ngumu mnoo sababu wanayofanya kunyanyasa wanawake ni mengi.
Ninachojua mwanaume yoyote yule akitaka ndoa hubadilika na akitaka kuitunza huipambania sana.
Mengine tuache nature itawale