Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

Ni kweli kabisa....
Sehemu nilipo Mimi hizo ndoa Bado zipo......
Kiukweli hili la kuoana na kuachana baada ya muda Mimi pia silipendi na mbaya zaidi wanawake kutumia talaka kama fursa.
Tatizo ni maadili yameshuka sana katika jamii kiasi kwamba vijana wanaona kuoa na kuachana ni kawaida..
Tuwaelemishe wadogo zetu, watoto wetu pengine huko mbele tunaweza kupata kizazi bora katika hii taasisi!.
 
Aisome
Mzee wa kupambania
Mbaga Jr
mjusi kafili
Busu la Kenge
 
Tatizo nililoliona sasa ni kwamba ndoa watu wanaingia kimaslahi zaidi....Upendo wa kweli hakuna ,zamani ni kawaida kwa mtoto binti tajiri kumpenda mtoto wa masikini maana shule zilikuwa ni moja mnasoma wote ila kwasasa wa kayumba kayumba na wa kwa Emmy kwa Emmy.

Mwanamme anaingia kwenye ndoa kwa tamaa za ngono kisa m/ke ana kalio kubwa so mawazo yake ni kwamba kwenda kuzagamia daily na pia m/ke anaingia kwenye ndoa na yeye atoe nuksi ,apewe makabati ,vitu vya ndani ,fedha za kutunzwa na mashosti wake!
 
Ndoa ni utapeli mkubwa kwa mwanaume ambaye yuko well established.
 
suluhisho la haya yote ni nin sasa?
Kila mtu ale hamsini zake.
Kuna dada mmoja alipojua sijaoa alinilazimisha sanaa kumuoa, baada ya uchunguzi nilikuja kugundua home kwao maisha magumuuu kwahiyo anataka kuolewa ili akimbie shida...!!

Yaani ndoa ni "financial rescue" yake, SI UFAL@ HUUUUU...!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
KAKA HUYO RICARDO KAKA, MKEWE ALISEMA WALIISHI VIZURI SANA, ETI AMEAMUA KUVUNJA NDOA SABABU KAKA NI MPOLE NA HAMPI HEKAHEKA HIVO AMECHOKA KUISHI NAE, ANATAKA KUONDOKA
Hekaheka ilimanisha migogoro ugovi ,kwamba kaka ricardo katombi yule au yule hivyo mwanamke alivoona ndani migogoro haipo na anapataka kilakigu akavunja ndoa ,binafsi nasema wanAwake kama asemavyo aseno wenga kocha mstaafu hawana difinisheni kazi kwako kukubali matokeo
 
KAKA HUYO RICARDO KAKA, MKEWE ALISEMA WALIISHI VIZURI SANA, ETI AMEAMUA KUVUNJA NDOA SABABU KAKA NI MPOLE NA HAMPI HEKAHEKA HIVO AMECHOKA KUISHI NAE, ANATAKA KUONDOKA
Hekaheka ilimanisha migogoro ugovi ,kwamba kaka ricardo katombi yule au yule hivyo mwanamke alivoona ndani migogoro haipo na anapataka kilakigu akavunja ndoa ,binafsi nasema wanAwake kama asemavyo aseno wenga kocha mstaafu hawana difinisheni kazi kwako kukubali matoke
 
TUSHA CHELEWA MKUU, KUWAELIMISHA NI NGUMU ILI HALI MTOTO ANAKUA AKILELEWA NA SINGLE MOTHER NIAMBIE HIYO HESHIMA YA NDOA ATAIONEA WAPI?
 
TUSHA CHELEWA MKUU, KUWAELIMISHA NI NGUMU ILI HALI MTOTO ANAKUA AKILELEWA NA SINGLE MOTHER NIAMBIE HIYO HESHIMA YA NDOA ATAIONEA WAPI?
Hatujachelewa mdogo mdogo tutawaelemisha.
Kulelewa na single mother si dhambi na ni uongo kwamba watoto wa single mama wanakosa heshima ya ndoa.
Tabia ya mtoto haitokani na mzazi Bali misingi ya malezi toka utotoni.
 
Hii waisome magen-zi Monetary doctor Al-mukheef Poor Brain bila kumsahau Half american.
 
Hatujachelewa mdogo mdogo tutawaelemisha.
Kulelewa na single mother si dhambi na ni uongo kwamba watoto wa single mama wanakosa heshima ya ndoa.
Tabia ya mtoto haitokani na mzazi Bali misingi ya malezi toka utotoni.
NGUMU SANA NMEISHI KWENYE JAMII YA USWAZI NAIELEWA NILICHO KIONA SIBAHATISHI, UTAFITI USIO RASMI, MABINTI WENGI SIKU HIZO WANAZALISHWA WANAENDA KUISHI KWAO NA WATOTO WAO, HIO IDADO NAYO ZUNGINZIA HAPA NI KUBWA SANA ASIKWAM IE MTU KARIBU KILA NYUMBA KUNA SINGLE MOTHER, SI POA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…