Ukweli usemwe sisi waislamu ndo tunaeneza vita ya udini Tanzania

Ukinionesha wapi Padre Kitima kataja uislamu,Bakwata au msikiti Mimi nasilimu!
Wacha serikali ijibu hoja za Padre kuhusu watu kuuwawa,kupotezwa na kulawitiwa! Ina maana uislamu unahalalisha haya?
Ni kazi ya padri kitima na mateka wake wa akili kuwa wanafiki, ni kazi ya masheikh na sisi wazalendo kuuweka wazi unafiki wa kitima na genge lao la kishetani.
 
Hapo Wakatoliki watetezi wa haki walikuwa wapi wakati Waislamu wanaonewa na kudai haki zao ?
Hivi waichilamu ubongo mlimpa nani nyie? Nyie mna mabaraza yenu mna viongozi wenu Bakwata yani BAkwata wenyewe walivyo wanafki na mazuzu wasijisemee ili baadae waje kulalamika mbona wakristo hawatusemei si Uzwazwa huo, TEC imeingilia kusema madhila wanayoyapata wananchi kwa ujumla bila kujali ni muislam au mkristo bado ni nongwa kwenu,.

Mnaleta agenda zisiko na kichwa wala miguu eti Muislam mwenzetu hatakiwi,

Watu wanaweka mambo moyoni atakuja mtu hapa na mlivyo wanafki wote mtaingia gundi za midomo,

Simamieni kwenye HAKI UBWABWA UNAISHA.
 
Basi hapa unajiona umeandika hoja nzito wakati ni upuuzi mtupu ambao unaashiria uwezo wako duni wa kufikiri.

Hebu niambie kauli hata moja tu ya TEC ambayo ilihasisha hizo mnazoita "vurugua" na kwa misingi gani?

Na pia hao waislam wa BAKWATA wao wanawataka TEC waongeee mnavyotaka nyie machawa hili iweje?

Kwani hao BAKWATA ni akina nani hasa mpaka wanawapangia TEC cha kuongea?

Na wanawaamrisha TEC eti wakemee fujo, kwani wao wenyewe BAKWATA na nyie wafuasi hamuwezi kukemea hizo fujo?

Yaani TEC kukemea maovu yanayofanyika na serikali dhalimu ya samuya ndio kuhamasisha vurugu? TEC kutaka haki itendeke kwa victims wote mauaji yaliyofanywa na serikali hii haramu ni kuchochea vurugu? Hivi unajielewa kweli wewe?

Haya unavyosema kwamba eti hao waliotekwa kuna sababu za wao kutekwa, kwa hiyo kumbe unakubali hii serikali haramu ya mama ako samia ni serikali ya kihuni na haifuati utaratibu wa kisheria inapotaka kuwaadhibu wakosaji wake? Yaani haina tofauti na magenge ya uhalifu ya south america ambayo adhabu pekee kwao haijalishi umefanya kosa gani ni kuteka na kuua?

Hao viongozi wenu wa BAKWATA siku chache tu zilizopita walitishia kuwa watachinja chinja waandamanaji ambao kwa upeo wao wanaamini ni wakristo, halafu unasema eti wao wanalinda amani? sijui dini yao ni dini ya haki, haki ipi wanayoitangaza ilihali TEC wanaohubiri haki wanawapinga?

Waislamu wa aina yako mnanishangaza na nna wadharau sana, maana kwa jinsi mnavyotuvimbia humu utafikiri huyu mama yenu na serikali yake atakaa hapo milele na wakati mpaka sasa hivi kakalia kuti kavu.
 
Mkuu hawa watu aina yao ya kufikiri inashangaza sana, sijui wana akili gani.

Yaan mpaka sasa hivi sio kwamba wao wanakataa maovu yanayokemewa na TEC kuwa hayapo, hapana ila kinachowauma ni kuona TEC wakiyasema maovu yanayofanywa na serikali ya muislamu mwenzao ambayo hawa wao wenyewe pia ni waathirika.

Serikali ya samuya imekuwa ikiteka na kuua watu wakristo na waislamu, kila mtu anamjua Ally Kibao na Ramadhani Rugyamba yule katibu wa BAVICHA kule Kagera walitekwa na baadae maiti zao kuoneka maporini.

Kwenye maandamano ya MO29 kule Kahama waislamu wengi sana waliouawa na majangili wa Samia kuliko hata wakristo, kwa ufupi kila baya alilofanya samia limetuumiza wote bila kujali dini zetu.

Sasa hawa jamaa yaani hawataki kabisa serikali hii isemwe kwa chochote kuhusu yote iliyoyafanya kisa tu inaongozwa na muislamu mwenzao, na ndio maana wanakuja na justifications za kipumbavu kma vile kukumbushia baadhi ya matukio ya awamu zilizopita, yote hiyo hili kuleta picha ionekane samia anaonewa kwa kukemewa maovu yake.

Yaani kwa fikra zao zilozojaaa udini haya matukio yangekuwa yanafanywa na raisi wa dini nyingine tofauti na muislamu basi ilikuwa ni sahihi kukemewa na TEC, ila kwa sasa hatakiwi kabisa kukemewa wala kukoselewa hata akiua maelfu ya wanainchi wake.

Kiukweli inashangaza sana kuona hawa wenzetu ni akili zao zimepigwa na upofu wa kidini wanautetea utawala huu kwa nguvu zote mpaka wanatishia kuua binadamu wenzao kana kwamba waathirika wa utawala huu ni wakristo tu na waislamu hawaathiriki kwa chochote, yaani wao hawaoni kabisa maovu yanayofanywa na serikali hii kwa sababu tu kuna hijabu pale juu..!?
 
Hujielewi ww na huenda sio muislamu
 
Umedai nina akili ndogo japo umeshindwa kuonyesha kwanini umelinganisha Jamhuri na familia. Kunivaa mimi badala ya hoja yangu ni ukosefu wa ustaarabu unaothibitisha uwezo wako wa kufikiri.
Hili nimeweza na maelezo ya kina nimekupa, sababu una akili ndogo umeshindwa kuelewa hilo.
 
Hebu niambie kauli hata moja tu ya TEC ambayo ilihasisha hizo mnazoita "vurugua" na kwa misingi gani?
Makemeo yote ya TEC dhidi ya serikali yamehamasisha vurugu.
Na pia hao waislam wa BAKWATA wao wanawataka TEC waongeee mnavyotaka nyie machawa hili iweje?
Sisi tunataka waongee haki na sio unafiki, uzandiki na uchochezi.
Kwani hao BAKWATA ni akina nani hasa mpaka wanawapangia TEC cha kuongea?

Hao TEC ni kina nani mpaka waipangie serikali nini Cha kufanya ?
Na wanawaamrisha TEC eti wakemee fujo, kwani wao wenyewe BAKWATA na nyie wafuasi hamuwezi kukemea hizo fujo?
Sababu hilo ni katika jukumu lao pia. Ndio maana tunasema huenda wao ni waratibu wa hizi vurugu, ndio maana wanashindwa kuzikemea.

Kwani Yesu anasemaje juu ya amani na haki ?
Yaani TEC kukemea maovu yanayofanyika na serikali dhalimu ya samuya ndio kuhamasisha vurugu?
Bila shaka kabisa, na hili atalipinga yeyote ambaye hana akili na hafikirii kama wewe.
TEC kutaka haki itendeke kwa victims wote mauaji yaliyofanywa na serikali hii haramu ni kuchochea vurugu?
Haki itendeke kwa wahalifu ? Una akili kweli wewe ?
Waislamu wa aina yako mnanishangaza na nna wadharau sana, maana kwa jinsi mnavyotuvimbia humu utafikiri huyu mama yenu na serikali yake atakaa hapo milele na wakati mpaka sasa hivi kakalia kuti kavu.
Kudharauliwa na mtu mjinga kama wewe na dhalimu, kwetu haidhuru chochote.

Sasa kama mnajua hatakaa milele, ni juu yenu kuwa wavumilivu kama sisi Waislamu tulivyo kuwa wavumilivu kwa Wakatoliki wanavyopewa fedha za uma.
 
Nimewashangaa sana wale wanaomtuhumu Nchimbi,aisee kuna kitu tu nyuma ya pazia hakipo sawa kwa kiwango kikubwa.

Mungu tenda
 

Hujielewi ww na huenda sio muislamu
Sawa ila huo ndo ukweli
 
Hili nimeweza na maelezo ya kina nimekupa, sababu una akili ndogo umeshindwa kuelewa hilo.
Umeiterate kuwa msingi wa uongozi wa serikali ni familia, kitu ambacho hakijibu hoja yangu ya kwamba jamhuri sio familia na havipaswi kulinganishwa.

Yani nimekuambia havifanani, na usivilinganishe, wewe unajibu moja ni msingi wa mwenzie, bila ya kuonyesha kwamba vimefanana vipi kiasi tufikie kuvilinganisha.

Wewe kusema moja ni msingi wa mwenzie haiifanyi kuwa absolute truth, lete absolute truth about similaritis between republic and family ili kutengua hoja yangu. Otherwise it still stands.
 
"makemeo yote ya TEC yamehamasisha vurugu"

Sasa si unipe hata mfano wa tamko hata moja linalohamasisha hizo vurugu? Mbona unaongea kiujumla jumla tu Ngumbaru wewe? Nipe hata mfano wa Kemeo moja lililowahasa watu wafanye hizo mnazoiita vurugu, kabla sijakuweka kwenye kundi la wajinga pro-max zaidi ya wale mashekh wenu walioshia dara la pili.

Ni wapi TEC wameonesha unafiki? Eti waongelee haki, hivi unajua hata maana ya neno "Haki" kweli wewe?

Au hao mashekh wenu waliosema watachinja watu ndio wanaongelea haki? Na wakati ni wanafiki wakubwa na hakuna kingine kinachowasukuma kuisapoti hii serikali zaidi ya njaa na samia kuwa muislamu mwenzao.

Unauliza TEC ni kina nani? TEC ni taasisi kongwe hapa nchini kuliko hata hiyo CCM na imekuwa ni platform ya kuisemea jamii kwa kuimbusha serikali kuhusu uwajibikaji na kutenda haki bila kujali itikadi za kisiasa wala kidini za watu inaowasemea.

Labda wewe unijuze hao BAKWA wana mamlaka gani ya kuwafokea TEC mpaka kufikia hatua ya kuwatishia maisha?

Kwanini wao ni min-branch ya Excutive mpaka wanamsemea huyu raisi haramu kila anapokumbushwa wajibu wake na TEC?

Kwani hii serikali haina wanasemaji wake mpaka nyie ndio mnajipa jukumu la kuisemea na kutetea ushetani wake? Wapumbav kweli nyie na mtu wenu hana maisha marefu hapo tuko hapa.

TEC wamechagua kukemea ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya shetani samia, sio mbaya na nyie BAKWATA na waislam kwa ujumla mkachagua kukemea hizo mnazoita vurugu na wala hamna mamlaka ya kuwapangia TEC nini cha kusema, kwanza wao wanaitaka serikali itende haki maana serikali hii kutokutenda haki ndio chanzo cha hizo mnazoita vurugu.

Mfano kama sasa hivi, TEC wameishauri hii serikali yako haramu inayoundwa na mama ako shetwani Samia kuwa iwape watu miili yao waende wakaizike, sasa hapo kwa akili mgando ulizonazo utasema wana hamasisha vurugu sio?

Kama kuikumbusha serikali kutenda haki ni kuhamasisha vurugu acha tu iwe hivyo, na TEC kamwe hawawezi kuacha kuikumbusha serikali hii dhalimu umuhimu wa kutenda haki.

Hata Yesu kupitia waraka wa Mtume Petro kuna sehemu nyingi tu ametukanya dhidi ya maafa, ila pia amewakumbusha wenye nguvu wasiwadharau wanyonge na kupora haki zao kwani utulivu,amani na upendo msingi wake mkuu ni haki.

Sasa nyie vilaza mnataka muende kinyuma na kanuni za asili, yaani mmepora haki za watu ambao ni uhai, halafu sasa hivi mnaanza kulazimisha pawepo na utulivu na kumnyamazisha kila anayetaka haki itendeke? Wajinga nyie na hamuwezi kunyamazisha kila mtu.

Kitendo cha kuwaita victims wa mauaji ya halaiki kuwa ni "wahalifu" kinakuweka moja kwa moja kwenye kundi la mashetan maana sio tu huna akili bali pia huna ubinadamu hata chembe mbwa wewe...

Asilimia kubwa ya watu ambao wameuawa na majangili yaliyotumwa na samia waliuawa wakiwa kwenye mazingira ya kwao, na hawakuwa hata kwenye hizo mnazoita vurugu, tumeshuudia watu wakiuawa kinyama wakiwa wanaemea mahitaji ya familia zao, halafu Nguruwe pori kama wewe unakuja kuwaita wahalifu? Msenge kweli wewe.

Haya kama ni wahalifu maiti zao ziko wapi? Unauaje wahalifu halafu unaenda kuficha ushaidi kwa kuwazika kwenye makaburi ya siri?

Umeua wahalifu, mbona hata idadi yao umeshindwa kutoa mpaka leo? Unaficha nini sasa kama kweli ulioua ni wahalifu?

Nyie wajinga mmeiharibu sana hii nchi sababu ya kukosa maarifa,ubinafsi na udini. Huyu mama yenu mlimnadi eti ni mwanadiplomasia mzuri kumbe ni shetani na kilaza wa kutupwa, eti WHO ARE YOU? mjinga kabisa yule, na kwenye hicho kiti hakai muda mrefu tuko hapa.

Unaua maelfu ya wanainchi wake halafu unawaita wahalifu? Eti nguvu iliyotumika inaendana na ukubwa wa tatizo kweli? Subiri ajionee consequences zake shetani la kizanzibari lile.
 

Unataka maaskofu wakatoliki watetee masheikh, Je masheikh wengine wako wapi kutetea wenzao?.

Unataka maaskofu wawapende masheikh kuliko masheikh wanavyopendana wao kwa wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…