The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 560
- 979
Umesahau kwamba yeye alikuwa mgombea, Je, una uhakika gani kwamba yeye ndo alitoa order kuhusu kilichotokea? Na kwa wale waliohamasisha watu kufanya fujo wao wako salama?Kwa Marais wa nchi maskini ikiwemo Tz ni easy sana kujikuta hatma yako iko mikononi mwa ICC na wakubwa wengine wa dunia hii kutokana na yaliyotokea Oct 29. Rejea kisa cha yule wa Ufilipino na wa Bangladeshi. Ngumu kwa nchi strong militarily ikiwemo China na Urus. ICC kuna uwezekano mkubwa watamwita. Ushahidi wa awali dhidi yake ni mwingi. Anachoweza fanya maza labda tu ni kukataa wito wa mahakama ya ICC na kuanza kuishi kama digidigi. Angekua na power aliyonayo Putin asingekua na hofu. Ila kibongo bongo ataishi maisha very stressful. Pia ataishi na hofu na hatari ya kuuzwa na weusi wenzie wasio na maslahi naye. Binafsi hata wasaidizi wake (makamu, waziri mkuu) siamini wapo upande wake fully. Kwa kifupi hali ni mbaya.
Hii nchi inavituko kwa sasa
Kwahiyo kumbe idiot ni kiumbe hatari!
Jibu hoja na sio matusi mkuu, mtu kashinda kwa kishindo kuliko maraisi wotee waliowahi kutokea, iweje aapishwe kinyemela? Iweje atumie nguvu kubwa kuongoza? Iweje raia waandamane kwa wingi ule?Ni siku kubwa.
Maneno ya mfa maji asiyeacha kutapatapa!! Imbecile creature!!
Nchi haiwezi angamizwa na mbwa kama nyie then tuangalie tuu!! Wengi mnaongozwa na chuki binafsi zilizopitiliza wivu na kijicho!!
Mlijipanga sana kiko wapi? Nilijua mlivyolia yaliyowapata tarehe 29 October hamjakoma kumbe kisu kiliingia kwenye mfupa!!
Samia yupo ikulu kama ambavyo nyie mbweha mlizusha ile siku kuwa kakimbia nchi!! Eti kajificha lini Rais wa nchi hii alizagaa hovyo barabarani? Halafu kuahirishwa sherehe za uhuru haikuanza leo miaka mingi tu tangu enzi za Magufuli hizi sherehe ziliahirishwa na bajeti kuelekezwa pengine!!
Mtakufa nacho kijiba cha roho Samia is there to stay shwain!!
Nimeshakuelimisha kwamba unaweza kuwa prosecuted na ICC hata kama wewe siyo Rais. And, yes, yeyote aliyehusika na uhalifu au yale mauaji anawajibika hata kama ni kiongozi wa dini kama Gwajima au Kitima. Kama Rais hakutoa "order" basi atasema na kutoa ushahidi nani alimzidi kete kwenye mamlaka yake na kusababaisha yale yaliyotokea Oct 29. It's as simple as that.Umesahau kwamba yeye alikuwa mgombea, Je, una uhakika gani kwamba yeye ndo alitoa order kuhusu kilichotokea? Na kwa wale waliohamasisha watu kufanya fujo wao wako salama?
Ndo maana nasema hili suala halihitaji mihemko ya kisiasa na ICC hawafanyi kazi kwa mihemko.
sanaaKwahiyo kumbe idiot ni kiumbe hatari!
Shingo haizidi kichwa, lazima nchi iwe na heshima mkubwa ajulikane mdogo ajulikane. Rais Samia ameonewa na kunyanyasa kisa akionekana mwanamama sasa kafungua makucha.Kama hivyo basi sasa hivi hao maadui wamekuja kwa kasi sana hadi imefikia hali ya kutufanya kumwagana damu wenyewe na kuharibu miundombinu, na jana wameweza kutuwekea matishio na kufanya nchi nzima kuwa kimya na kushindwa kusherekea sherehe za uhuru.
Uhalali wake tulimpa sisi tuliompigia kura hawezi kupewa uhalali na kundi la watu wanaoingia na kufanya vurugu mtaani na kuchoma mali za watu. Sisi tunaojua anafanya nini nchi nzima akitimiza ahadi zote walizoziweka yeye na marehemu tunafahamu anafanya nini na ndio tuliompa haki ya kushinda kwa kishindo.hali ya jana wala sio ya kujipiga kifua na kusema kwamba ccm wameshinda.... ile ni AIBU ya mwaka...na kwa kifupi vijana Gen Z wameshinda kwa kishindo....Samuye anajijua na anajua wazi kabisa kuwa hana uhalali
Sasa kinachoendelea mkuu kama jana hakina tafsiri ya kuonyesha ukubwa wa serikali, serikali kuonyesha ukubwa wake ni kulishughlikia hili jambo pasina kuwa katika hali ya hofu na kuweka watu ndani na shughuli zote kusimama.Shingo haizidi kichwa, lazima nchi iwe na heshima mkubwa ajulikane mdogo ajulikane. Rais Samia ameonewa na kunyanyasa kisa akionekana mwanamama sasa kafungua makucha.
Huwezi kuichukua dola ya nchi yenye miaka 64 ya uhuru kirahisi tu. Hakuna cha ajabu nchi nzima kukaa ndani, mwaka 2015 nchi nzima tulifagia barabarani na nyumbani pesa iliyotengwa ikaenda kujenga kipande cha Morocco - Mwenge.
Jana ilikuwa 9 desemba siku ya mapumziko, leo kazi zimeendelea kama kawaida. Hao vijana waliosema yatakuwa maandamano mpaka Samia atoke madarakani hawana ufahamu mpana wa namna serikali haswa ya Tanzania inavyofanya kazi.Sasa kinachoendelea mkuu kama jana hakina tafsiri ya kuonyesha ukubwa wa serikali, serikali kuonyesha ukubwa wake ni kulishughlikia hili jambo pasina kuwa katika hali ya hofu na kuweka watu ndani na shughuli zote kusimama.
Mapumziko hayo ni hadi kwa usafiri wa umma nao ukapumzika watu wanashindwa kutoka sehemu moja na kwenda sehemu nyengine? Hakujawahi kuwa na 9 desember ya aina ile nchi nzima imetulia tuli.Jana ilikuwa 9 desemba siku ya mapumziko, leo kazi zimeendelea kama kawaida. Hao vijana waliosema yatakuwa maandamano mpaka Samia atoke madarakani hawana ufahamu mpana wa namna serikali haswa ya Tanzania inavyofanya kazi.
Uv Ccm washapewa buku saba wanapayuka ovyoFanya tu haraka uingie studio na huyo samia wako ili mshushe vizuri mashairi yenu ya taarabu! Siyo kwa vichambo hivi.
Machoko mnachojua ni kusifia usenge.Katika hao machoko na baba yako yupo, ndiyo maana kazaa toto taahira linaitwa Mr Junior
Hoja yako ingekuwa na nguvu kama ungesema ''Nyerere. Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM' walipingwa kwa maandamano ya Wananchi. Kumbuka hawakuwa Wapinzani bali Watu wa itikadi zoteHakuna serikali duniani inayoweza kumridhisha kila mtu. USA wanapambana na maandamano tangu Trump ameingia ikulu. Huwezi kusema kwamba Trump hajafanya chochote cha maana licha ya kila siku watu kuandamana na mabango mikononi.
Na kama ni mapinduzi bubu nani aliongoza? Jambo zuri viongozi wa upinzani walikuwa mahabusuYaliyotokea October 29 yalikuwa mapinduzi bubu, hayakuwa maandamano kwa namna yoyote ile.
Polisi wangapi waliuawa?Hakuna maandamano watu wanavamia vituo vya polisi na kupora silaha kisha kuwaua polisi wanakuwa zamu.
Kama serikali inasema kulikuwa na ''collateral damage'' wakati wa kuzuia maandamano kwanini huamini 'collateral damage'' ya kuandamana. Hivi hujui kuna opportunists katika jamii kama walivyo chawa wa CCM.Hakuna maandamano watu wanakatwa vidole kisa wamepiga kura. Ule ulikuwa ushenzi na kizuri ni kwamba Rais Samia aliukomesha kwa kuwachapa risasi wajinga wote waliofanya zile vurugu.
Well, Kikwete aliwahi kusema ''ni upepo utapita''. CCM wakaamini hivyo hata MO29 walidhani ni upepo.Huu ni upepo mbaya lakini utaingia kwenye kurasa za historia muda mfupi ujao. Yaliyotokea October 29 yakishahamia kwa Museveni yale yaliyotokea huku kwetu yataanza kusahaulika.
dickhead uko huko kama mange mnzinyonya tu za wazungu, halafu unajifanya una uchungu na maskini wa tz.Maajabu ya Samia hayo!
Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.
Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.
Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.
Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.
Ni siku kubwa.
Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.
Hajulikani alipo. Kajificha 😀.
Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.
Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.
Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.
GenZ wa Tanzania kiboko aisee.
Yaani they are basically calling the shots.
Hey Samuya, where are you? 😂
Hakuna serikali duniani inayoweza kumridhisha kila mtu. USA wanapambana na maandamano tangu Trump ameingia ikulu. Huwezi kusema kwamba Trump hajafanya chochote cha maana licha ya kila siku watu kuandamana na mabango mikononi.
Yaliyotokea October 29 yalikuwa mapinduzi bubu, hayakuwa maandamano kwa namna yoyote ile.
Hakuna maandamano watu wanavamia vituo vya polisi na kupora silaha kisha kuwaua polisi wanakuwa zamu.
Hakuna maandamano watu wanakatwa vidole kisa wamepiga kura. Ule ulikuwa ushenzi na kizuri ni kwamba Rais Samia aliukomesha kwa kuwachapa risasi wajinga wote waliofanya zile vurugu.
Huu ni upepo mbaya lakini utaingia kwenye kurasa za historia muda mfupi ujao. Yaliyotokea October 29 yakishahamia kwa Museveni yale yaliyotokea huku kwetu yataanza kusahaulika.
Mzee J.S.Warioba aliliona tatizo akaanzisha mazungumzo. Warioba akaonya, kuna tatizo tufanye minimal reforms zisizohitaji kubadili katiba kama yake ya Tume ya Uchaguzi...Maza angeweza kutuepusha na yaliyotokea kama angetekeleza kwa dhati 4R zake, na kurekebisha Tume ya Uchaguzi.
..Kwani tungeahirisha uchaguzi na kufanya marekebisho ktk Tume kama walivyopendekeza Chadema nchi ingepata hasara gani?
Tushawatekenya na nyege zishawapanda kilichobaki ni tukio tu so tulizanaNi siku kubwa.
Maneno ya mfa maji asiyeacha kutapatapa!! Imbecile creature!!
Nchi haiwezi angamizwa na mbwa kama nyie then tuangalie tuu!! Wengi mnaongozwa na chuki binafsi zilizopitiliza wivu na kijicho!!
Mlijipanga sana kiko wapi? Nilijua mlivyolia yaliyowapata tarehe 29 October hamjakoma kumbe kisu kiliingia kwenye mfupa!!
Samia yupo ikulu kama ambavyo nyie mbweha mlizusha ile siku kuwa kakimbia nchi!! Eti kajificha lini Rais wa nchi hii alizagaa hovyo barabarani? Halafu kuahirishwa sherehe za uhuru haikuanza leo miaka mingi tu tangu enzi za Magufuli hizi sherehe ziliahirishwa na bajeti kuelekezwa pengine!!
Mtakufa nacho kijiba cha roho Samia is there to stay shwain!!
Na utasota sana kwa akili kisoda uliyonayoMachoko mnachojua ni kusifia usenge.
Matahira ndio mnasababisha hii nchi inaliwa na wachache wengine mkibaki kusota.