PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wasomali walijitenga wenyewe na wanajitenga kila wanapokuwa unless kama kuna msaada/misaada wanahitaji kutoka kwako hivyo wapambane na hali zao wenyewe.
Huyo malaya ya Kizanzibari tutapambana naye mpaka Tanganyika ipate uhuru.
JF bado mnaendelea kuifungia(kwa sasa illegally) lakini mmejazana ku-enjoy freedom of expression though bado mnamuwinda Melo na kumsababisha kuendelea kuishi mafichoni.
 
Basi nyie wazee pambaneni naye bila kutumia mgongo wa Gen Z.
 
Basi nyie wazee pambaneni naye bila kutumia mgongo wa Gen Z.
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Yeye anatumia wasiojulikana to terrorize the Tanganyikans kwa kuteka, kufira na kuua hivyo na raia inawalazimu kutumia collective forces kumkabili malaya shangingi kutoka taifa la Zanzibar. We’re literally fighting for Tanganyika freedom.
 
Kwa haya matusi ndo maana hamfanikiwi. Wewe ni mfano halisi kwanini tunaitwa nyani. Kweli wewe ni Monster, kama kuna watu wanakufuata wewe basi pole yao
 
..Maza angeweza kutuepusha na yaliyotokea kama angetekeleza kwa dhati 4R zake, na kurekebisha Tume ya Uchaguzi.

..Kwani tungeahirisha uchaguzi na kufanya marekebisho ktk Tume kama walivyopendekeza Chadema nchi ingepata hasara gani?
Hivi mkuu zile story za Habil nawewe ulijaa kwenye mfumo? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
..Maza angeweza kutuepusha na yaliyotokea kama angetekeleza kwa dhati 4R zake, na kurekebisha Tume ya Uchaguzi.

..Kwani tungeahirisha uchaguzi na kufanya marekebisho ktk Tume kama walivyopendekeza Chadema nchi ingepata hasara gani?
CHADEMA walionyesha ubishi tangu mwanzo kabisa. Baadae Lissu akaja na kauli ya 'kukinukisha' na tukashuhudia namna kilivyonuka October 29.

Pia CDM wanadhani wao ndio chama pekee cha upinzani wanasahau kuwa vipo vyama vingine 16, vipi kila chama kingekuja na matakwa yake na kikataka yatekelezwe kwa asilimia 100?.

Lissu na Heche hawazijui siasa za kujishusha kwa faida ya wote.
 
Hizo social unrest zipo dunia nzima, hata USA na Ulaya kuna hizi kasheshe za maandamano, haizui ukweli kwamba yale yalikuwa mapinduzi bubu.

Hakuna maandamano katika mazingira ya watu kuchoma moto kituo cha polisi.

Sina idadi kamili ya polisi waliouwawa lakini wapo, usidhani wale jamaa wenye fulana nyeusi waliamua tu kupiga watu risasi bila ya sababu, walikuwa wanapambana na nguvu kubwa ya chini kwa chini.

Ule ulikuwa upepo mbaya uliokuta serikali imejikita kwenye uchaguzi ikiwa imepeleka rasilimali watu kubwa kwenye eneo moja wale wahuni wakautumia mwanya huo kufanya vurugu kubwa. Tarehe 9 Desemba hakufa hata mtu mmoja, serikali iliweza kujipanga vilivyo.

Samia ukiwasikiliza wajuaji wa majiji makubwa huku Dar na mikoa michache hajafanya kitu, lakini ukisogea huko mikoani kwa ukaribu utaona mengi sana anayoyafanya.

Hizi negative news zinatengenezwa na kina Maria Sarungi na Mange hawa watoto wa wakubwa hawajui chochote kuhusiana na masuala ya kiuchumi yanayoendelea kwa mapana yake Tanzania nzima, wanadaka umbea kisha wanaueneza kwa kuongezea habari hasi.

Tanzania itashinda licha ya uwepo wa mapambano mengi ya mitandaoni.
 
Mapumziko hayo ni hadi kwa usafiri wa umma nao ukapumzika watu wanashindwa kutoka sehemu moja na kwenda sehemu nyengine? Hakujawahi kuwa na 9 desember ya aina ile nchi nzima imetulia tuli.
Vijana waliozaliwa miaka ya 2000 wameishi kwa kudekezwa, kiasi kwamba hawana uwezo wa kupokea kile ambacho hawakifahamu au hawakubaliani nacho. Haraka sana watakimbilia kukutukana kwenye comment wakishindwa kuvumilia mawazo tofauti na ya kwao.

Walikuwa hawalifahamu jeshi letu kwa mapana yake lipo vipi, hawakuijua nguvu yake ipo vipi. Mara moja moja lazima tuchapane makofi ili tukiamka asubuhi ianze kusikika shikamoo kabla ya maongezi mengine.
 
..sijawahi kumfuatilia Habil.

..lakini ukweli lazima usemwe kwamba Maza hakutakiwa kuteka, wala kuuwa, mtu yeyote.

..watu walikuwa na matumaini makubwa naye, lakini amewaangusha.
Ni sawa lakini approach ya NRNE haikua sahihi na kadiri muda unavyokwenda unatuambia!!

Japo Samia hayuko sahihi na bado anaishi kwenye mfumo Magufuli (huu itachukua muda sana CCM kuondokana nao)

Nitaendelea kusema Lissu na ile sura ya harakati aloingia nayo CDM was not an option!!
 
Naelewa kwamba utulivu(sio amani) wa hii nchi ulejengwa kwenye uwoga na ndio maana kuelekea Mo29 jeshi lilikuwa linatumia mbinu yao waliyoizowea ya kutisha waandamanaji ila baada ya kuona wananchi hawatishiki tena ndio wakaamuwa kutumia silaha kwa watu ambao hawana silaha na ndio hicho ndio unachosifia wewe kuwa ndio uwezo wa jeshi letu kuuwa watu wasio na silaha. Ila pamoja tukio kubwa kama hilo basi tusingetegemea kuwasikia tena kuhusu hao vijana ila D9 hao hao vijana wakasababisha serikali kuahirisha sherehe za uhuru na nchi kuwa kama chini ya jeshi.
 
Awamu hii ataimaliza kwa taabu sana! Rais gani utaongoza kwa kujificha? Limeingizwa choo cha kiume na kukuta wanaume wanakojoa!
 
Ukweli ni kwamba wasaliti wa nchi walianza kujenga tabia ya kishetani ya kutaka kufaidika na taharuki ya kwenye mitandaoni.

Hawajali kuwa uchumi mkuu wa TZ unaporoka ilimradi wa kwao binafsi unakwenda juu, watanzania wamewashtukia washenzi hao wanaoishi Ulaya na USA wameamua kutokubaliana na hoja yao ya kusambaza chuki miongoni mwa mwetu.

Walikuja na mikwara ya maandamano yasiyo na mwisho leo watu wameamkia kazini kama kawaida, sasa hao wapuuzi wanaounga mkono wakitaka kuijua hasira ya watanzania wazalendo wajichanganye tu kuanzisha maandamano siku za kazi watajua kilichomtoa kanga manyoya.

Usidhani imewezekana kwa uwezo wa kibinadamu. Pale St Gasper Mbezi Beach tuliweka Novena ya siku tisa iliyomalizika tarehe 8, Mungu amejibu upendo wake. Hatuna utamaduni wa kuishi kwa hofu hao washenzi wanaoishi huko Marekani wameshindwa kutuambukiza roho za maasi zilizoitesa serikali ya Kenya.
 
Anaishi kama nguruwe mwitu **** bake
 
..sijawahi kumfuatilia Habil.

..lakini ukweli lazima usemwe kwamba Maza hakutakiwa kuteka, wala kuuwa, mtu yeyote.

..watu walikuwa na matumaini makubwa naye, lakini amewaangusha.
Utekaji mheshimiwa aliurithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati JPM, Alitakiwa avunje kile kitengo maalum yeye kaendelea nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…