Nakumbuka nilikuwa ofisini usiku ule nikisaini nyaraka mbali mbali , nilistuka sana , wasaidizi wangu wanadai nilizimia kwa muda wa nusu saa
Sema uligongeana mkono na shost wako kujipongeza baada ya ile taarifa kutoka ikulu ndogo Tanga πππKawaida kabisa....yani kawaida sanaaaa
Na siku nne zijazo nitaenda mnadani kuomboleza
Sikuchekelea na sikusikitika nilikua kawaida kabisa....nafatilia update kwa kigogo πSema uligongeana mkono na shost wako kujipongeza baada ya ile taarifa kutoka ikulu ndogo Tanga πππ
"Msiba ulifatiliwa na watu bilioni 1" kuna viongozi ni waongo πHivi viongizi wa nchi hii walitaka kuonesha nini au walikuwa wanafikiria nini kuzungusha maiti ya Jiwe kila kona ya nchi hii. Jua lake, mvua yake. Aiseee?! Mazishi ni Chato lakini maiti inapelekwa Zanzibarr. Kushoto kabisa kijiografia. Daah! Hakuna kitu ilinikera kama ile. Badala ya kupumzisha maiti wenyewe wanalichezeaπ‘π‘π‘π‘.
Ile ilikuwa dhambi kubwa sana kwa wahusika. Kama wanajijua wakatubu tu. It was a shame and disgrace to the late.
Wewe Na majirani zako mnalala kitanda kimoja? Umejuaje kuwa majirani nao hawakupata usingizi kama wewe?πππ
Zile habari za kifo cha huyo nduli Magufuli nilizipokea kwa shangwe kubwa isiyo kifani!Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?
Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
Swali la kipuuzi hili. Nilikuwa namkubali Kwa Sababu ya dedication na ufanyaji wake wa kazi, alikuwa Rais mwenye akili nyingi sana angalia alivyohendo korona na watu wa ovyoovyo Kama mafisadi, wanasiasa uchwara, vyeti feki NkWewe ulikuwa na upendo zaidi ya mama janet aliyekuwa anatabasamu siku mwili unaagwa chato?
Ukiwauliza hiyo kufuatiliwa inaisaidia nini maiti hawana majibu hata. Wahuni sana"Msiba ulifatiliwa na watu bilioni 1" kuna viongozi ni waongo π
,πππππ..........Huo mtaa ulikuwa wa hovyo sana kutokea nchi hii.Tulipigiana simu na tukaweka matanga.
Hii kumbukumbu mnafanya na nani mkuu? Hata hivyo, kifo chake kilikuwa cha kawaidia. Haraka nilivyosikia amekufa nikaanza kuwakumbuka watu wengi kwa majonzi makubwa kama Lissu, Saanane, Mawazo na wengine wengi. Bila shaka huko aliko atakuwa anawaomba mmoja katika hawa wamuombe ruhusa arudi duniani aje kusema ukweli juu yao.Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?
Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
Kigogo aliandika eti maiti imezungushwa sana hadi imeanza kutoa mchuziUkiwauliza hiyo kufuatiliwa inaisaidia nini maiti hawana majibu hata. Wahuni sana
Kuna ubaya ukusema ulikesha na ukinywa kwa furaha tele?π€My apology kwa wale watakaokereka lakini eneo nilipokuwepo watu walikesha wakinywa kwa masikitiko mengi
Sahihi kabisa. Imagine mtu aliyekuwa anatisha na kuamrisha majeshi kufanya usafi mitaani kama ilivyotokea Mwanza na Dar baadaye maiti yake ikawa inazungushwa kimzaha mitaani just for fun. Aiseee?!ππππ. Kisa wanajua sasa hana cha kuwafanya sasa. The world is not fair kwa kweli.Kigogo aliandika eti maiti imezungushwa sana hadi imeanza kutoa mchuzi
Nilienda bottle store fasta nikanunua chupa ya Laurent-Perrier(LP) na kusherehekea.Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?
Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.