Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Nilikuwa na House girl msukuma aisee alilia wiki. Mi kama binadamu niliumia lakin pia nilimuombea Mungu amsamehe maovu yake. Daima kwangu alikuwa 50/50. Hakuwa mzur wala mbaya.
 
Mi nilienda kutafuta jogoo kubwa sana na pilipili mwendokasi za 8500.Nikawa naomboleza huku nakohoa huku nasindikizwa na supu yenye muwasho.
 
Kwa majonzi mazito
Hadi nikalala kwa wenge usiku.


Mungu aendelee kumpumzisha pema.
 
Labda huyo ISIS alikuwa ndo Jiwe na id Fake😉😉
 
My apology kwa wale watakaokereka lakini eneo nilipokuwepo watu walikesha wakinywa kwa masikitiko mengi
Mimi nilizipata taarifa asubuh wakat naelekea job?manake nilizima simu na kulala mapema that day,ila siku ya kuzikwa kwake sehemu niliyokuwepo mvua ilipiga hatari na tulikesha club tukilewa chakari hadi alfajiri😅
 
washkaji zangu walilewa siku tatu mfululizo, kimsingi ilikuwa shangwe kuu, hata mimi ningekuwepo ningewazidi kmmk
 
Hasira, Sikuamini kama anaweza kufa kibwege vile.Na bado siamini kama ni kifo cha asili.Bado nina hasira sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…