Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

Kwa kweli. Maudhi ni mengi
Aisee,nilikuwa na fundi ninaemuamin sana na alinijengea nyumba kadhaa mimi nikiwa mbali na ziliisha vizuri nami nilikuwa naridhirika.Sasa nilikuwa na nyumba moja niliijenga kwa shida baada ya kibarua changu kuisha but nikawa nimeezeka tu,so nyumba ilikaa muda mrefu mpk likawa chaka la wabakaji,wezi ikafikia muda nikaitwa na serikali ya kijiji kuwa nitafute mbadala Kwan hilo jengo ni hatarishi kwa jamii.So nikamwiita fundi yule wa siku zote tushariane namna ya kufanya,akanishauri nichukue mkopo pahala angalau niwezeke madirisha wakati najipanga.Si kawaida yangu kukopa but ilibidi niende pahala nikope milioni 5.Kwa sababu mie naishi mwingine.Tukapiga hesabu tukaona milioni 4.5 inatosha kumaliza na kufitisha madirisha.Mie ili kuepuka kutumatuma pesa ikabidi nimwamini km siku zote nikamtumia pesa yote na kutolea. AISEE huu ni mwaka wa 3 Kwan baada ya kupata pesa ile alihama mkoa na kuhamia dodoma .Ndo siku ya kwanza kulia machozi huku nacheka.Nimemwekea nadhiri moyoni

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Ukija kuwa mkubwa utamwua huyo mzee!
 
Pole sana mkuu, kutapeliwa pesa ya mkopo huku ukiwa huna kibarua maumivu yake hayaelezeki.

Nadhani ulishafikiria kuua pia.
 
Nadhiri gani 😅😅😅
 
Niliwahi kuwaza. Na pia namna ya ku execute hiyo plan kama sehemu ya kulipiza kisasi. Lakini namshukuru mungu alinisaidia kunilipia kisasi
 
Huyo mzee ungemuacha akichane cheti kisha mziki wake unampeleka mbele ya sheria ndio atajua nini maana ya kusotea cheti[emoji1787]
Sheria ingeendeshwa kwa upepo nakati unajua kabisa Mawakili na wanasheria wananeemekaga kiulaji papo hapo?

Hukuelewa kuwa Mama yake na Jamaa ni Mjane?
 
Afu kuna mataahira yanakwambia habari za kwenye Biblia ni hadithi za vijiweni nakati Nabii Musa alikuwa na hasira kwa asili ya kigugumizi kama wewe?

Watu wenye asili ya kigugumizi huwa nawaogopa kama ajali maana huwa hawana msamaha kirahisi rahisi kabisa.
 
Monds naomba mm n familia yangu huu uzi ufutwe kwa maslahi mapana ya kulinda amani na utulivu w jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…