Yaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? 😭😭😭😭
Uwanja kukosa Standby Generator haliwezi kua tatizo au kosa la Tanesco
 
Lakini haya ni mambo ya kawaida hata Dubai imewahi kutokea kwenye world cup
 
Theory inaonyesha taa zikizima mida hii team ya home kupoteza
 
Vitu vingi hapa Tz ni uvundo tu. Huo mpira ni kwasababu uko live. Kuna takataka ambazo haziko live hizo ndo mbaya zaidi. Hatujamaliza kashifa ya waziri na gari la Serikali kubeba vimada, Sasa linaingia na umeme taifa. Yako mengi sana ndugu zangu. Tuko pabaya
 
Yaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? 😭😭😭😭
Umeme umekatika hadi Arusha mkuu, hii nchi watu hawako siriaz
 
Hii ni nchi ya giza kwenye kila kitu.
 
Kwan we yanga inakusaidia nini? Na wawashe kandili au koroboi! I dont care
 
CCM Nchi imeshawashinda kimebaki kuwa kimbilio la wezi wa fedha na mali za umma.
 
Hizo milion 10 zinazotolewa, zilitakiwa zipelekwe kwenye maintenance kama hizi , ona sasa aibu tunavotia, watu wemgi wanafatilia hii michuano Africa.

Tunaonekana hatupo seriously kabis Tanzania kichwa cha mwend.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…