Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

snpate ujasir kama bratha mpauko alivyolimaliza gemu kwa nguvu maana saiv yeye haugulii mateso kwenye hii dunia katil
Mkuu usifikie hatua hiyo,hilo giza halitodumu,bado hatua chache sana za kufikia mwanga.
Jambo la msingi,chapa kazi yoyote kwa nguvu zako,ukikosa kazi za watu fanya zako,hakuna jasho la mtu litaenda bure.
 
Kupenda mtoto wa mtu ni ujinga mkuu.
 
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Naona wote mnataka kuijua Siri na siwaambii ngโ€™o..!!

Hiyo umekosea wala sio, angekuwa hivyo njngemgundua kabla hatujafika hata kudate..!! Jaribu nyingine hadi upatie.. ๐Ÿ˜น

Cc; Joanah
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ