Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

Kwenye siasa vita moja ikiisha nyingine inaanza na kuama upande ni jambo la kawaida sana.

Ni kwa sababu hizo, ndio maana utakutana na kauli za hovyo walizopewa wanasiasa kama vile β€œtofauti ya dada poa na mwanasiasa; mwanasiasa bei yake ni kubwa zaidi” lakini wote wapo tayari kufanya kazi na yeyote mwenye dau.

Hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa, kuna maslahi ya kudumu. Vita moja ikiisha nyingine inafuata na wachezaji wanabadili upande kwa maslahi yao mapana.

Ama ni utoto kinachoendelea huko CCM kila siku kumfanyia majungu Makonda, au wahuni wana mtu wao 2025 wanataka popular support ya β€˜bi-tozo’ iendelee kubaki chini ili iwe rahisi kumvaa.

Vinginevyo hata dictatorship kama huko China serikali inajaribu kutafuta legitimacy ya uwepo wao kwa kuwafanyia kazi wananchi na kutatua shida zao. Hata wanapozuia wapinzani unakuta bado wana support ya wananchi walio wengi.

Uchaguzi mkuu sio kama chaguzi za ndani ya CCM wajumbe wananunulika kirahisi au wapiga kura wote ni watumishi wa serikali wanaopenda viongozi wazembe katika kuwasimamia wafanye yao. Wapiga kura waliowengi ni wananchi wa wakawaida na wengi ndio hao wanaojaa kwenye mikutano ya Makonda na huko anamtengenezea imani Samia anawajali.

Hata kama unajua unashinda chaguzi kwa hila, bado kuna umuhimu wa kutafuta legitimacy ya kuonekana unapendwa. Na mtu anaefanya hiyo kazi on the ground na kueleweka kwa sasa ni Makonda peke yake, wengine ni kuandaa makongamano ya kujitekenya na kucheka wenyewe hakuna wananchi wanaosikiliza upuuzi wao.

Bi Tozo aelewi somo au watu aliowaweka karibu ndio waliovuruga uraisi wake.

Ni upuuzi wa hali ya juu viongozi wa CCM kuwa na wivu na Makonda.

Ukiangalia clip wala akumdhalilisha yule dada, ye mwenyewe anaongea kwenye mkutano wa hadhara uku anatabasamu na kuchekacheka bila ya sababu za msing, ndio Makonda alipomwambia mbona unaongea kama tunatongozana mimi na wewe wakati wananchi wanataka majibu; mimi tayari nina mke mzuri (aina maana yule dada mmbaya).
 
Jamani Hapo kakosea wap kijana wa watu.
 
Amakweli Dunia ina mambo, "KINYAGO" walicho kichonga wenyewe leo kinawatisha🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hata kama Mimi unanibania pua nakuchana live!

Ifikie hatua tuache kubembelezana watz!ujinga ni mwingi mnonkwenye hizi halmashauri!!
 
Mpenda kiki ameshaharibu...
 
Ni Umoja wa wanawake CCM? Au Ni Mary chatanda ? wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko
 
Najua Mama chatanda ni spika, yupo mwenye agenda nyuma ya hili suala.

Mungu ampiganie Makonda, ipo siku kuna watu wataaibika. Makonda chapakazi tambua wapo watu nyuma yako tunakuombea.

Mama asikubali maadui wa Magufuli wawaandame wasaidizi wake
 
Ulimi ndiyo huamua mtu azungumze nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…