UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

Kutokea Gaza kasikazini kwenda kusini sio mbali kihivyo.Wagaza wanaweza kwenda Hata kwa miguu,ni kama umbali wa kutoka Kariakoo kuelekea kimara ,Mbezi au kibaha Fulani hivi.Wangeanza mdogomdogo kuondoka [emoji848]
Wajanja washawahi foleni kuelekea Misri
 
🔥🔥🔥🔥
 
wametoa onyo, anayetaka aondoke, asiyetaka abaki na asimlaumu mtu. tena hamas mafirauni kwelikweli manake nasikia GAZA tu kwa leo, ina wajawazito 60,000 kazi ni kuwafanya wale wanawake mashine za kufyatulia watoto ili waizidi israel idadi. kwa sasa, israel wanachosema wanapanga ni kuwafukuzia kwenye ardhi ya Misri, na misri amejua hilo anazuia wahamiaji wa gaza wasije misri, anasema wabaki hapohapo gaza. mpango wa pili utakuwa kuannex westbank yote ili ardhi yote ile ikaliwe na wayahudi. wakimaliza hapo wataanza na Lebanon na Jordan ambazo zote ni ardhi za wayahudi. there is no going back.
 
Walikosea wenyewe kuruhusu Hamas wawaingilie.
Na ndo maana nasema Israel alijua mipango ya Hamas akaamua aiache kama ilivyo
Yaani Israel aruhusu raia wake watekwe na kuchinjwa ili iweje yaani?

Hakuna kitu kama hicho ni nadharia ya hovyo tu unajitungia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…