Sijui hata kama hio screenshot yako umeielewa, inaprove point yangu badala yako.
1. Inasema waingereza walileta mapanjabi na Sikh huku, ni Sawa sikatai, je hao ndio matajiri wetu? Hapana matajiri wetu si masingasinga ni waisilamu wa Shia toka Gujarati.
2. Si kila anetoka India ni mhindu, Elites wa India at that time walikua ni Mughal hao walikua ni waisilamu kama hufahamu, Aga Khan Alitoka Gujarati India kuja Tanzania, kabla ya kwenda India alikua na Asili ya Iran (Shah ni Wairan)
3. Hatuongelei middle class kama screenshot yako inavyoonesha Tunaongelea matajiri kina Mo, Zakaria, Rostam etc hawa wazazi wao walikuja kujenga reli? Kama walikuja kujenga reli toa ushahidi otherwise hujathibitisha chochote hapo kama nilivyoweka Mimi ushahidi wagujarati walikuja before muingereza weka na wewe wako.
Wahindi wafanyabiashara wengi wanafanana kiasi kwenye michezo yao ya kibiashara. Kenya pamoja na kuwa na wazungu wengi ila kinara wa Goldenberg Scandal alikuwa Kamlesh Pattni, Kule South Africa Gupta family wamefanya state capture.Huyo jamaa kila MTU anasema chake, Ukienda Kenya ni Mkenya, ukija Tanzania ni Mtanzania, sasa hivi South Africa anaitwa "Torch bearer wa Sikh wa south Africa", MTU gani Hana Historia ya ukweli hata moja? Ukimsoma kidogo Tu unaona ni mpiga dili Hana credibility za hawa tunaowazungumzia hapa.
Achana na Historia za kubumba, hakuna kipindi Wahindi waliwahi kuukamata uchumi wa dunia.Miaka hio India ndio walikamata Uchumi wa Dunia, walipishana wao na China, so walikua vizuri kwenye suala la mitaji.
View attachment 3583421
Hapo Gujarat wakati huo na Hadi Leo ndio moyo wa India, mabilionea 108 Kati ya 190 wa India ni wagujarati na wafanyabiashara wakubwa walitoka hapo kuna sehemu Inaitwa "Kutch" watu wa huko wakawa Nicknamed "Kutch moneybag". Hata wahindi wa Tanzania hao Ismailia wanaongea kihindi kwa lahaja ya "kachi" ambayo inatoka huko.
Hao jamaa walisambaa Dunia nzima kuanzia Indonesia na Malaysia Asia ya Mbali, Hadi kwa Waarabu Sehemu kama Dubai kwa kiwango kikubwa wamehusika wao kujenga, nenda UK na USA wamehusika kikubwa biashara za huko Hadi huku kwetu.
Huku kwetu kabla sultan hajakuja alipinduliwa kule Oman, akakimbilia India ya zamani ambapo alitegeneza "koneksheni nao" alivyorudi Oman na baadhi wakawa part ya Elites wa Oman, hata Alivyokuja Zanzibar alikuja nao, kama nilivyoweka huko juu waziri Mkuu wa Zanzibar alikua ni Mhindi aliitwa Sir Topan, Hawa jamaa ndio walikua financer wa miradi ya Sultan, wao walitoa hela na mipango, kuleta technology, Sera za nchi etc. wengi wasiojua hawa jamaa pia ndio heart ya Ukoloni wa muingereza walikua na hela na wao ndio walimuwezesha muingereza kutawala maeneo mengi.
So walipokua huku walijenga Znz, wakaja wakaijenga Dar Shule kama Jangwani, Tambaza, part ya muhimbili na nyumba ambazo Leo ni za NHC etc huwezi kamwe Eti uletwe na muingereza kujenga Reli then uporomoshe Maghorofa, Hospitali, Shule na miradi ambayo hata waingereza wenyewe wakoloni hawana uwezo wa kujenga.
Mimi mwenyewe naamini sana hili. Mkuu unaweza kuongelea familia ya Karimjee?Hata Nchi ilivyopata Uhuru Nyerere akiendelea kuwakumbatia, kuwapa Nafasi mbalimbali serikalini na Opportunities mbalimbali kuendeleza Nchi,
Bado haijakuja mkuu, yamekuja maneno Tu hakuna video/audio
No hao kina Aga khan Wana pesa chafu hata kabla ya mkoloni, walikua matajiri before, unajenga vipi Tambaza, Jangwani, Mjini kote Maghorofa Yale kwa kuwa middle Class?Bilionea wa sasa sindo wajuuu wa middle class ya mkoloni? Au mm sijakuwa na maarifa sahihi juu ya hilo?
Aga Khan ni taasisi ya kidini kama RC.No hao kina Aga khan Wana pesa chafu hata kabla ya mkoloni, walikua matajiri before, unajenga vipi Tambaza, Jangwani, Mjini kote Maghorofa Yale kwa kuwa middle Class?
Jengo la zamani ambalo limesimama Hadi Leo Dar ni la mwaka 1866, way before Ukoloni na ni Ghorofa kubwa Tu Sokoine drive Mjini.
Karimjee ni Kutch nae toka Gujarati amefika huku 1825 mwaka Jana 2025 wametimiza miaka 200 Tanzania kuna article Yao theCitizen ikielezea Historia YaoMimi mwenyewe naamini sana hili. Mkuu unaweza kuongelea familia ya Karimjee?
Histori ya daras inadanganya au unqamin mkolon alijkuwa han hela kujenga au hakutak kuacha maendeleo afrika?No hao kina Aga khan Wana pesa chafu hata kabla ya mkoloni, walikua matajiri before, unajenga vipi Tambaza, Jangwani, Mjini kote Maghorofa Yale kwa kuwa middle Class?
Jengo la zamani ambalo limesimama Hadi Leo Dar ni la mwaka 1866, way before Ukoloni na ni Ghorofa kubwa Tu Sokoine drive Mjini.
No aga khan ametoka Gujarat hapo Asili yake ni Iran, Mo katoka Gujarat Historia yake ipo wazi, sijui mnabisha nini.Aga Khan ni taasisi ya kidini kama RC.
Aga Khan ni kiongozi wa Ismailia na wanaamini Aga Khan anatoka ukoo wa Mtume Muhammad.
Nadhani kuna tofauti ya Ismailia (Aga Khan), Wahindu (Gujarat), waajemi kina Mo pamoaja na Wahindi wa kaqaida waliokuja kama Raia wa India kufanya biashara.
Walowezi wa kiingereza. Kumbuka waasia wengi walikuwa wachuuzi(traders). Walizungusha mitaji katika kununua na kuuza vitu vyenye soko.Kama unaamin hili, ukwemye siasa za utaifishaji aliathirika nani?
Kila MTU na lengo lake hapo. Mkoloni alitengeneza Uchumi wa kuprocess raw material, tulikua kama extension ya kunufaisha wao viwanda vya kusindika raw material yaende Ulaya. Hadi Leo Sera zao ni hizi.Histori ya daras inadanganya au unqamin mkolon alijkuwa han hela kujenga au hakutak kuacha maendeleo afrika?
It prove nothing boss huoni huyo ni hohe hahe kama Watanzania wengine? Mleta mada anazungumzia hao matajiri, soma Uzi uelewe.
Nimekuekea graph hapo juuAchana na Historia za kubumba, hakuna kipindi Wahindi waliwahi kuukamata uchumi wa dunia.
Unakumbuka kama utaifishaji ulifanyika katika sera za ujamaa? Kama nchi ilivyopata uhuru 1961 serikali ilitwaa nn kutoka kwao na nn waliwaachia?. Mana mm ninavyoelewa uhuru uliwapokonya wazungu kila kitu lakini kuna baadh ya mali zilimilikiwa na wahindi ikiwemo mashamba, mashule ambayo yalichukuliwa kipindi cha sera ya ujamaaWalowezi wa kiingereza. Kumbuka waasia wengi walikuwa wachuuzi(traders). Walizungusha mitaji katika kununua na kuuza vitu vyenye soko.
Waingereza ndo walimiliki shule, viwanda, karakana na mashamba.
Unqvyowaona na kuwajua kwa kuwasoma, unahisi wana sifa za kuitwa mabeberu? Monopoly capitalist?Kila MTU na lengo lake hapo. Mkoloni alitengeneza Uchumi wa kuprocess raw material, tulikua kama extension ya kunufaisha wao viwanda vya kusindika raw material yaende Ulaya. Hadi Leo Sera zao ni hizi.
Hao wagujarati wanajali kukuza mitaji Yao, so hata kama atajenga kiwanda cha kukufaidisha as long as ye anaingiza hela hajali, hao jamaa hawajali hata kuingiza hela India, wamejaa Nchi za watu Duniani popote kwenye hela wanaweka makaZi
Hakuna utawala ambao umewahi kuwa top dunia nzima, waliojitahidi sana ni Waingereza na wao waliishia kwenye robo ya dunia tu katika kilele chake(Pax Britannica).Nimekuekea graph hapo juu
View attachment 3583463
Utawala wa Mughal India walikua top Dunia nzima, it's a fact haihitaji opinion yako kuwa kweli ama Sio kweli