secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Hata digrii au diploma ya sheria hunaTLS inaonekana wapo chaka, kufa kwa Rais si serikali kuvunjwa, mawaziri wote bado wanaendelea na nafasi zao pia PM anaendelea na nafasi yake, Samia ana uhuru wa kumbadilisha yoyote ila serikali haijavunjwa.
Alitumwa akawadanganye Waumini tena siku ya ijumaaMajaliwa amejidhihirisha kuwa hafai kuwa kiongozi. Anaongea uwongo wa ajabu. Kwa kweli nimefuta katika kundi la watu makini.
Rais anaumwa, anatuongopeq kuwa eti yupo ofisini anachapa kazi. Hii ilikuwa dhihaka kubwa kwa mgonjwa. Na kama alikuwa akimkejeli mgonjwa.
Majaliwa hafai kuwa pmSitegemei kama atafanya mabadiliko makubwa kwenye serikali yake, amekuwa na Majaliwa miaka yote anamfahamu, nadhani atamaliza nae muda uliobaki.
Lazima apate mrejesho 'updates'Kama ni hivyo sasa saivi anafanya kikao na baraza lipi mawaziri kama nafasi zao inabidi ziteuliwe upya?
Polepole hujitoa ufahamu,kiongozi wa kitaifa inatakiwa atunze kauli zake hana uwezo huoMajaliwa hafai kuwa pm
Mwigulu hafai
Jaffo hafai
Asimteue polepole kwenye nafasi yoyote serikali
Asithubutu kumteua makonda kwa nafasi yoyote,
Mapendekezo yangu,
1. January makamba( makamu wa Rais)
2. Balozi Nchimbi au Lukuvi (pm)
3. Prof Assad( mkaguzi kuu was serikali)
ILI KUIRUDISHA NCHI KWENYE UMOJA
NAPENDEKEZA,
Kwakuwa bado Kuna nafasi ya Rais kuteua wabunge,
1. Freeman Mbowe( Mambo ya ndani)
2. Tundu Lissu (katiba na Sheria)
3. Zitto kabwe ( wizara ya fedha)
Wengine mtaongezea
Nimetumia haki yangu ya kikatiba
Raisi mkali wa nn? Tayari kuna sheria yeye azisimamie tu, raisi mwenye akili ya kukuza uchumi wa nchi na umguse kila mmoja ndiye anafaa.SIKILIZENI HII NCHI INATAKA RAISI MKALI SO MAKAMU AWE MKALI NA MWENYE IDEA KWANZA YEYE MWENYEWE ZA KUTOSHA, YAANI VISIONERY LEADER
CCM sio kama vyama vingine mbali na katiba,kanuni miongozo na sheria pia CCM kama CCM kina tamaduni na taratibu zake.Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Kassim Majaliwa ataweza kumsaidia vyema mheshimiwa raisi kwa kuwa wanaijua spidi waliyotoka nayo walipokuwa na Hayati Magufuli.Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Nadhani Lukuvi ingependeza zaidi.Makonda apewe uwaziri Mkuu...
Lukuvi hapana... dharau zimemzidi sana...Nadhani Lukuvi ingependeza zaidi.
Sio mbunge wa kuteuliwaNi muda sahihi kwa Dkt. Slaa kupewa na kusimama katika nafasi hiyo
Atabadilika, kwani hata Makonda si alibadilika?Lukuvi hapana... dharau zimemzidi sana...
Tabia ni kama ngozi... anakujisikia sana...Atabadilika, kwani hata Makonda si alibadilika?