kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Anayefaa ni yule atakayeona anafaa. Hatuna haja wala haki ya kumchagulia kwa vile sisi sio rais.Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Kwenda huko eti Kabudi mpayukaji? Kwani wenye uwezo wameisha hadi umchukue mtu toka jalalani? Acheni masihara wanangu.Makamu si tumekubaliana ni kabudi profeseri ama namunagani!!
Haraka tubadili waziri wa ulinzi,naibu mambo yandani,utamaduni na michezo,naibu kazi nk. tuchanganye kanda kidogo...
But makonda lazma atapewa kakazi alimtabiria mukuu vyema,akawe hata Rc Dom babu apumzike Dom inapaswa kuchangamka kidogo!!
Napendekeza lukuvi apewe nafasi ya makamo wa rais atamsaidia sana rais Samia katika kutatua matatizo ya wananchi mikoani kwani mama Samia hataweza kuzunguka nchi nzima kila cku kama magufuli lukuvi ameonesha kwamba anaweza.Kwa hiyo hilo baraza la mawaziri tulilotangaziwa anaenda kulisimamia ni baraza hewa au mfu ?
Lukuvi ni kihiyo aliyeghushi vyeti vya kitaaluma na bingwa wa kujikomba ili apate tongeNapendekeza lukuvi apewe nafasi ya makamo wa rais atamsaidia sana rais Samia katika kutatua matatizo ya wananchi mikoani kwani mama Samia hataweza kuzunguka nchi nzima kila cku kama magufuli lukuvi ameonesha kwamba anaweza.
Ndiyo maana sura yake imekunjamana kwa maringo ya kubinua binua puaLukuvi ni kihiyo aliyeghushi vyeti vya kitaaluma na bingwa wa kujikomba ili apate tonge
Dorothy GwajimaNimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Awe mwanamke .Wanaume Sasa Hivi lazima Mainze kupiga deki kupika kukuna nazi Sisi wanawake ndio maboss .Mtupigie magotiNimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Hii awamu itakuwa ndefu sana aseeAwe mwanamke .Wanaume Sasa Hivi lazima Mainze kupiga deki kupika kukuna nazi Sisi wanawake ndio maboss .Mtupigie magoti
Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Ndio hivyo tena tumewaacha mbali ghafla.mtatutambuaHii awamu itakuwa ndefu sana asee
SawaNdio hivyo tena tumewaacha mbali ghafla.mtatutambua
siyo kweli wewe ni muongo na mpotoshajiNimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Sijakuelewa unaposemakiNamjua Rais wangu hawezi kabisa kupenda kumtoa Majaliwa Kassim Majaliwa
hivi hizi ndoto za kuwaweka watu km Silinde au Prof Mkumbo au Gwajima yaani hawa Mamluki ni hapana kabisa.
Mama namuamini kabisa ingawa Baraza ataligusa lkn sio kwa 40% najua atabalance Nchi nzima sio km kwa sasa ni Kanda moja tu
Alidanganya.Au ushasahau.Mtu mwongo hawezi kuongoza watu ambao wanamjua kuwa alitudanganya.Kwani aliyepo katolewa?
Wa Chama gani huyo?Ni muda sahihi kwa Dkt. Slaa kupewa na kusimama katika nafasi hiyo
Hao sio tatizo sana....MWIGULU ndio Fungus, atoleweMajaliwa Bado anafaaa sana!!! Ila atoe hizi takataka haraka sana
1.Nchemba
2.Gwajima
3.Molleli
4.Kabudi
5.Waitara
6..
Wakuu wa wilaya na mkoa
1.Happy
2.chalamila
3.Sabaya
4.Kenani
5..
.......