Kutopokea namba si lazima kuwe kuogopa kupata challenge.Okay sawa kama ni kanuni Yako hivyo kutopokea uko sahihi pia.
Lakini Mimi iwe namba ya kuzimu iwe ya wapi napokea bila kujali ni taarifa Gani napewa, coz siogopi kuface challenge yeyote. Ikiwa Niko bize siitaji usumbufu na fly[emoji3575].
We mzee bwanaKutopokea namba si lazima kuwe kuogopa kupata challenge.
Kwanza tuelewane hapo.
Inawezekana namba zenye challenge ni zinazojulikana, zisizojulikana zimeonekana hazina challenge.
Unapigiwa simu 30 kwa siku.
Zote zinauliza "Unataka kazi?". Unajibu sitaki.
Sasa hapo challenge iko wapi?
Mara nyingine ni vigumu sana kuelewana, kwa sababu tunaishi maisha tofauti sana.We mzee bwana
Unanikumbusha Mohammed Ally alivyosema
Speaking the truth ain't bragging
Kwenye tabia hiyo, umekosea kuoa mkuu. Pole.Mimi binafsi nina sababu moja kuu ya kutokupokea namba ngeni especially ninapokuwa na mke wangu..... kulinda mahusiano, kwani kuna mtu anaweza kupiga kwa kukosea na ikawa ni wa kike hiyo ni nongwa..... mpaka mke aelewe pashachafuka sana [emoji3][emoji12]
Kiranga Kutopokea sm Kwa sababu maalum n sawa, but Kwa kigezo Cha namba siijui kwahio sipokei hii inaonyesha Kuna kitu unahofia. Na hio hofu Mimi naiita uoga.Kutopokea namba si lazima kuwe kuogopa kupata challenge.
Kwanza tuelewane hapo.
Inawezekana namba zenye challenge ni zinazojulikana, zisizojulikana zimeonekana hazina challenge.
Unapigiwa simu 30 kwa siku.
Zote zinauliza "Unataka kazi?". Unajibu sitaki.
Sasa hapo challenge iko wapi?
Ana jihami huenda ana mskandokandoHaijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.
Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana namba yako na una shida ungependa kuongea nae. Unapiga simu hapokei. Baadae atakuja kukwambia namba ngeni hapokei.
Nini siri ya kutopokea namba ngeni? Faida zake ni zipi au hata nyinyi mnafanya bila kujua faida na hasara zake?
Yeah hii sisi wabongo inatusumbua sana being judgementalMara nyingine ni vigumu sana kuelewana, kwa sababu tunaishi maisha tofauti sana.
Ni muhimu kueleweshana.
You shouldn't judge someone before you walk in that person's shoes.
Watu wangekuwa wanapata simu za recruiters kama ninavyopata mimi, labda wangeelewa kwa nini sijibu simu za kutoka namba nisizozifahamu.
Hahaha kila mtu na kanuni yake ya maisha siyo lazima awe muhalifu.huo ujinga nimeukuta kwa watu wengi sana. kuna mmoja ni hakimu mstaafu nilimtafuta mara kadhaa hakutaka kupokea cm akapishana na mchongo wa kama 10million. baada ya wiki namfuata live namuuliza shida nin nilikuwa nakupigia cm cku nzima,
akanambia uwa sipokei namba ngeni, nusu nimkate kibao,
watu wa namna iyo wengi wanakuaga wahalifu
Hapa si States banaUshawahi kupigiwa na recruiters/ telemarketers 30 kwa siku?
Hapo ukitumia dakika mbili tu kwa kila simu, na ukishapokea simu unatakiwa kuwasikiliza, unakuwa ushapoteza saa moja.
Who has time for that?