Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

Mke hatakiwi kukupelekesha bwana.
 
Hahahaha wabongo bana
 
Kama unawasiliana na mtu kwa mara ya kwanza jaribu kumtumia meseji kujitambulisha, hizi simu zimeshakuwa na usumbufu mwingi kuna vitu vingi watu wanakuwa wanavikwepa ikiwemo mizinga ya ghafla bin vuuuu.....
Uogaa wa kutojiamini tu
 
Utaambiwa una madeni au michepuko
 
Watu wasiojua umuhimu wa muda na kuondoa distractions hawawezi kukuelewa.

Kuna watu wengine wanapata simu nyingi wakiamua kujibu kila simu itabidi wajipe kazi ya kuwa "Telephone Operator" juu ya kazi zao nyingine.
Au Sio[emoji2].Uzuri wa bongo sote tuko bizee lakini hatujui tuko bize na Nini maana tunajua thamani ya muda lakini muda haujui thamani yetu[emoji28][emoji28].Bongo bana.

Kuna watu si wafuasi wa kutuma meseji Kwa sababu ya aina ya kifurushi anacho jiunga.Unakuta ana jiunga kifurushi Cha dk TU Kwa kukwepa gharama na hata akijiunga kifurushi Cha dk + sms sms hazitumi kabisa.Sasa utasema atume sms.Atumeje?
 
Uoga + Uongo.

Kuna mtu au Hali anaikwepa.
Kuweka cm hewan na kutopokea pindi upigiwapo Ili Hali uko na simu ni nidhamu ya uoga.
Kabisa...

Kama mtu hupendi usumbufu uko bize na mambo yako ya msingi ya Nini simu ikae hewani Ingali ukipigiwa hupokei??

Mara nyingi ni watu wa hivyo ni wale wanao jiona wamemaliza Kila kitu au ni waharifu, na Wana madeni.Ndo maana wanataka utume sms kwanza wajue.
 
Mbongo hakawii kutaka kukupiga mzinga wa ghafla bin vuu mtu asiyekujua, halafu, usipopokea simu anakulaumu wewe.

Kama vile wewe ndiye umemsababishia matatizo yake.
Mpaka kupigwa mzinga maana ake akili Yako haiko Sawa,Maana maamuzi ni ya kwako ya kusema "No" au "Impossible". Ndo maana tunasema ni kutokujiamini tu na uoga kama siyo uharifu na madeni.

Upigwe mzinga na akili Yako Iko vizurii kabisa unajua ni mzinga.Unakuwa umetaka.
 
Unaweza ukamblock mchepuko halafu akatumia namba nyingine kukutafuta utaishia kupata aibu ni
Kama utapiga na namba isipokelew ni jambo dogo tu kujitambulisha kwa sms wewe ni nani
Kwa kuwa wewe wa maana sana ndio unataka hadi utumiwe SMS kwanza au nini. Na hata hiyo SMS mnakuwa hamjibu nyinyi kwa nyodo zilivyowajaa.
 
Ndo uharifu wenyewe huo madeni uoga na kutojiamini.

Siyo Kila mtu ana kaliba ya kutuma ma sms au kujiunga kifurushi Cha sms na dk. Wengine wanajiunga dk TU.

Msikilize,kama ukimskiliza kama haeleweki.Una mkatia una mpiga block.
 
Jaman kila mtu ana uhuru na matumizi ya simu yake,wewe kama kuna watu huko huwa unawapigia hawapokei achana nao na pia wewe ambae unapokea simu ya kila mtu pia endelea hivyo hakuna mtu atakupangia usipokee simu wakati huo ni utaratibu wako. Haya maisha tunatofautiana sio kila unachokiamini wewe lazima na wengine waamini hivyo.
 
Uoga ni kuona simu inaita na kuogopa kupokea.

Pokea sikiliza kama haeleweki mkatie simu yake mpige block kwani atakufanyeje? Maana haeleweki.

Mbali na hapo ni uharifu na madeni.
 
Wengi hatujui matumiz ya sms,jitambulishe kwanza Kwa sms baada ya kupiga cmu Ili mtu aweze kujua ww n nan,
Unakuta mtu anapiga cmu hachoki tu ,ikikata anapiga Tena ,ikikata anapiga Tena, mwishowe inakuwa usumbufu.
Mjinga wewe. Kama hajui kuandika afanyeje, au kama simu kaazima mara moja afanyeje. Acha kujiona wa maana wakati we ni udongo usiokuwa na thamani yeyote.
 
Wanajiona wamemaliza Kila kitu na WAnajiona wamefika tayari waliko kuwa wanakwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…