Uchaguzi 2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

TBCCM ni Tv huendeshwa kwa kodi za wananchi ambao wengi si wapenzi wa CCM, cha ajabu sasa TBC imekuwa mali binafsi ya CCM imekuwa kama gazeti la uhuru na daily news, haya ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Nendeni mkagongwe nae huko ubelgiji ila hapa TZ ni hapana.
Na.mtakufa kwa jazba
Sisi huku nguvu za kiume zipo za kutosha,
 
Jiwe analalamika wapinzani wanamtukana.. Na alitumia hii ya kutukanwa kama sababu moja ya kuvunja sheria kwa kuzuia vyama kufanya siasa kwa miaka mitano..

Leo kiongozi wa upinzani akimuita jiwe msukule ataweza kuvumilia..?

Sisiemu naona wamekata pumzi, kete pekee waliobaki nayo ni kupora matokeo halali October 28..

Ila Wajue Lissu sio waliopita..
 
Na tunategemea hivyo vyombo vya habari vilivyolusha hayo matangazo ya kumsikiliza mchumia tumbo vifungiwe haraka,kama walivyo wafungia TV Mawingu
 
Hayo ni maoni yako
 
Msukule si tusi. Linamaanisha mtu ambaye network au memory yake imekaa vibaya baada ya kufa halafu akarejea kuishi duniani. Askofu Mwamakula kathibitisha haya katika mkutano ule wa Karagwe. Msukule kwa kawaida huwa huwaita wenzake washamba halafu anawaomba hao washamba wampe kura!
 
Polepole nae aitwe kamati ya maadili ya taifa
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Polepole Ame neutralize maana lissu naye kaitwa tume ya maadili ya nec, kawa preempty Nec

Huenda polepole Ni kachero wa upinzani ndani ya ccm
 
Nendeni mkagongwe nae huko ubelgiji ila hapa TZ ni hapana.
Na.mtakufa kwa jazba
Sisi huku nguvu za kiume zipo za kutosha,
Mlisema upinzani umekufa,sasa hivi mnatapatapa,
Na bado kampeni hazijafika ha nusu,zimebaki siku 30,mtaongea lugha zote mwaka huu.

NB:
Jikiteni kwenye hoja,muwaeleze mtawafanyia nini watanzania ili maisha yao na wajipatie kipato.
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Mbona Lisu anaita utendaji wa serikari kuwa wa kishenzi na hamjamwambia aache kutukana maata waofanya hizo kazi ni watu pia wana familia.
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Mara nyingi kama si mara zote hakuna ukweli unaoambatana na matusi, ukishaona kuna matusi na mambo kama hayo basi ukweli huo huwa ni wamashaka na usishangae ukawa ni uongo😀
 
Siyo Makonda tena?
 
Nchi ina miaka zaidi ya 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi kufanya mambo ya hovyo, mambo yasiyo na tija kwa Taifa badala ya maendeleo, CCM hujinadi wameleta maendeleo makubwa cha ajabu hawataki kuona wananchi wanakuwa huru kuamua kile wanachokiona wao, hakuna uhuru wa kufanya siasa hakuna uhuru wa vyombo vya habari, utawala huu wa Awamu ya tano umeivuruga Nchi mpaka kupelekea Deni la Taifa kuwa maradufu ya Tawala zote zilizopita, wanatumia udikiteta kuwazima midomo wapinzani ili wapate kupiga dili zao pasipo kelele.
 
Mlisema upinzani umekufa,sasa hivi mnatapatapa,
Na bado kampeni hazijafika ha nusu,zimebaki siku 30,mtaongea lugha zote mwaka huu.

NB:
Jikiteni kwenye hoja,muwaeleze mtawafanyia nini watanzania ili maisha yao na wajipatie kipato.
Tayari CCM wana deni kubwa kwa watanzania wametafuna pesa zao nyingi kwa kazi zisizo na tija kwa Taifa, kabla hawajatangaza wataifanyia nini Tanzania ni vyema warejeshe pesa zote walizochukua Hizina kienyeji zikiwemo za kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge
 
Lazima haya yatokee kabla ya Tetemeko la 56.7. ktk siasa zetu
 
Wito kwa watu wote wastaarabu ,wawaadhibu watu was aina take kwenye sanduku la kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…