Uchaguzi 2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

Hizi ni dalili za kushindwa kumjibu mpinzani wako kwa hoja au kufahamu kuwa mpinzani wako ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko wewe. Unatumia personal attacks.
@Kiranga anaziita ad hominen attacks
 
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja. Sidhani kama CCM wamefikia hatua hiyo.
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Na ndio ilani ya CCM hiyo
 
Siasa za nchi hii za kijinga, katibu mwenezi anaongea ujinga, matusi mengi kuliko hoja za msingi, wanasiasa wa CCM matusi mengi bila hoja za msingi
Hii ni credit kwetu acha waendelee na matusi sisi tukiwa tunachanja mbuga
 
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika...
Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.
A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.
Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him....
He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people. This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque.
 
Humu ni wasemaji wa Cdm? Ccm wameshapanick na anachokionyesha Polepole ni kiwango cha kuchanganyikiwa huko. Huyo Polepole asizuiwe aachwe aongee ili kiwango cha ujuha wake na wa ccm viwe hadharani. Uwezo wa yeye kupambana na game changer hana.
Game changer? Stupid gay!
 
Leo dogo ameshindwa kabisa kujenga hoja, ameonesha chuki kubwa sana maana anamharibia chakula na familia yake lakini my vote imetikiswa ilikuwa ya Magu but haya matusi hapana, will the man NI YEYE
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane

Wapi video ya huyu Chimpazee wa Lumumba Street?
 
Kwa ukatili waliomfanyia Lissu hawaamini kama kweli bado yupo hai.
Walitamani awe amekufa ndio maana kila wanapomuona na kumsikia wanajisemea labda ni msukule wake.
 
Kwa ukatili waliomfanyia Lissu hawaamini kama kweli bado yupo hai.
Walitamani awe amekufa ndio maana kila wanapomuona na kumsikia wanajisemea labda ni msukule wake.
Polepole ndiye alisuka njama zote za kumuua lisu mungu kaanza kumuumbua sasa
 
NECCCM Tumeccm ishitakiwe The Hague ICC mapema kwani inaenda kuvuruga Amani ya Tanzania
 
Sasa ni ruksa polepole kuwatukana wapinzani misukule lakini si ruksa kwa wapinzani kumjibu polepole kwani wakimjibu watabambikiwa kesi
 
Wale wote waliohusika na mpango wa kumua Lissu watakufa kabla ya Lissu.
Nyaulingo alipata ajali Bagamoyo kawa kiwete na hana jicho, Bashite yupo benchi anasota ingawa le mutuz kamletea waganga wa kienyeji anajipa moyo, mmoja Asiyejulikana alikufa kule Iringa , sasa polepole kaanza kuropoka hovyo lazima mungu aendelee kuwaumbua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…