Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

Lakini hao walioko ofisini wana maisha mazuri kuliko mafundi wengi kwa ratio.
 
Ningerudi chuo leo ningesomea Agripreneurship na Agricultural Mechanisation nichanganye biashara na kilimo pamoja na teknolojia za kisasa za uzalishaji. Hapo ndipo future ilipo...population ya dunia inakua ardhi inapungua na hao wote watakula tu watake wasitake
 
Kweli kabisa mtu akimiliki hekari 10 akaweka miundombinu ya kisasa akalima mwaka mzima ameaga njaa huyo.
 
msomi ni injinia wa majengo na barabara tu.nyie wengine mlienda chuo kupoteza muda tu na kuwatia hasara wazazi wenu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

kijitu kimesoma hkl eti nacho kinajiita kisomi๐Ÿ˜
Naona siku izii NIMEKUA mvivu mvivu kuandika..
Unajua maana halisi ya elimu ni nini?!

Elimu ni maarifa/ ujuzi anao upata mtu umkusaidie kupambana na mazingira Yake. Ukiona elimu haikusaidi basi hiyo elimu ni SCAM

Elimu ya kweli sio lazima upate ajira serikalini.. elimu ya kweli ni kuziona fursa na kuzigeuza kuwa pesa na kutengeneza ajira endelevu kwa wengine..

Mfano ukininyan'ganya hapa Kila nilicho nacho ukanitupa huko mbali NANJILINJI najua na kick out kwa sababu elimu yangu ni ufunguo wa MAISHA

Sisi wengine tumeshatoka kwenye Hilo box la FIKRA ZA KUAJIRIWA ndio ivyo tena sikuongopei
 
Elimu ya Certificate Lengo lake ni kumuandaa assistant technician
Elimu ya Diploma Lengo lake inamuandaa technician
Elimu ya Degree inamuandaa Officer /engineer
Masters Degree inamuandaa Manager
PhD ++ inamtengeneza researcher au Experts

Shida ya watu wanalazimisha Mtu anae andaliwa kuwa officer afundishwe mtaala wa technician.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ