Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Kwenye uzi nimewafahamu wanawake wengi waliopo humu,

Pamoja na suala la ndoa kuelezewa vizuri katika kitabu kitakatifu cha Qur'an ila wanawake wengi hawapendi uke wenza, kuna kisa kimoja kinafikirisha sana...
Kuna mwanamke mmoja alikua hataki kabisa mumewe aoe mke wa pili, baada ya kuishi kwa miaka kadhaa yule mume akafariki, mwanamke yule mjane aliishi kwa muda mrefu bila ndoa nyingine na kila mume aliyejitokeza alitaka kumuoa kama mke wa pili,
Basi ikafikia kipindi akakubali ndipo alipoanza kujiuliza ikiwa yeye alikua hataki uke wenza je mwenzake atakubali?
Mola wako mlezi atakupa mpaka uridhike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me nilikuwa najua waislamu wanawake waga wanafurahia.....hahaha
 

Tafsiri ya kuoa mke wa pili maana yake ; ya kwanza imeshakuboa na kuichoka. Unataka ladha mpya.

Ndio maana tunasema dini hazina usawa; je kuna mwanaume atakubali kuwa mume wenza; ? Kama haiwezekani why kwa mwanamke iwezekane? Kwani yeye hana moyo ?

It is not fair at all , Na historical hakuna mwanamke anayependa hizi mambo ni shida tu. Unakuta mwanaume hawezi kumtosheleza mke wa kwanza haja zake lakini bado anakwambia anataka kuoa mke wa pili.

Uke wenza ni Umalaya kwa mfumo mwingine uliohalalishwa na jamii fulani. Na ni sababu kubwa sana kwa kuongezeka kwa magonjwa kama Hepatitis B na VVU.

Ni umalaya uliohalalishwa.
 
Hata awe na wangapi kama ni mzinzi ni mzinzi tu, mie kuna familia nilikuwa nawafahamu yule tena mwl alikuwa na wake wa 4, alikuwa anawatoroka wote anaenda kudanga na michepuko huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka nilikuwa namuuliza hao wake zako umewapa nini kuwafanya wajinga hivyo !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singo maza wa karne[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani mume wa mtu na wewe unajivulisha chupi tuu. Hauolewi na nyuzi zako za singo maza zinakusubiri huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu kunangwa kila kukicha , na usawa wa magu huu akiona mambo
magumu anakimbia kimya kimya mwanamke unapauke kama dela la elf 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kukosa huruma tu kwani mwanamke akiwa hedhi hatakiwi kupewa faraja? Ndiyo maana wanaondokaga mapema Mungu anaona uchafuzi wake unatosha aende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mume wangu nitamruhusu kuoa mke wa pili iwapo tu akiwa na pesa za kutosha, sio mimi sili vizuri, sivai vizuri, silali pazuri halafu aongeze balaa lingine hell no,, patachimbika

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahu na kukuridhisha sio nguvu zenyewe za kutegeshea mlimani unaweka gogo halafu anaenda kuongeza mke! Hapo si ndiyo mwanzo wakutafuta vipozeo, ukute mtu anapata stimu baada siku 4 mpaka wiki halafu anajishauwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…