jamaa anapoint tatizo ni chadema, udsm kutahadharisha ni sahihi, na tawa nao wanapaswa kuchukua hatua za haraka, hivi wangetonywa kuna mama anauza nyama ya swala siwangeshafika fasta,W
Wewe acha lawama za kipumbavu,,
UDSM kutoa tangazo huoni Kam inasaidia watu kufahamu kuwa maeneo tajwa ni hatar hivyo hakuna atakayesogea eneo Hilo.
kabisa, wanapaswa wa relocate, nadhani udsm tawa na dsm zoo wangeshirikiana wakamkamata chatu wakampeleka dam zoo na hao ngedere wangeweza pia kuwahamishaNa zile ngedere zinazoiba hadi chapati COET wazitoe.
Ndo maana wanasiasa wanafanya wanavyotaka kwasababu ya watu wapumbavu kama wewe. Huoni kama UDSM na idara ya wanyamapori wangeweza kumaliza hilo tatizo kwa haraka bila kuleta taharuki? UDSM na Idara ya wanyamapori hawajatimiza wajibu wao.W
Wewe acha lawama za kipumbavu,,
UDSM kutoa tangazo huoni Kam inasaidia watu kufahamu kuwa maeneo tajwa ni hatar hivyo hakuna atakayesogea eneo Hilo.
Mzee Nyani hata chatu wa Afrika wanameza watu ingawa hutokea mara chache.Ndiyo, chatu akipata windo lolote lile anakula tu. Ila kwa hawa chatu wa Afrika, kumla mtu inabidi mtu huyo awe na mwili mdogo.
Hata wale reticulated pythons wa kule Indonesia ambao wamekuwa documented kumeza watu, ni wakubwa sana. Wanaanza futi 19 mpaka 23 hivi.
YouTube kuna video nyingi tu zinazoonyesha chatu [Burmese pythons] wakijaribu kumeza mawindo ambayo ni makubwa na mwisho wake wanaishia kuacha na kukimbia.
Ila chatu hata kama si mkubwa sana, bado anauwezo wa kukuua ukiingia kwenye 18 zake.
Akishajivingirisha kama huna wa kukusaidia, hapo ni kifo tu.
Hao wanao meza watu wanaitwa chatu ccmKwa kawaida ni nadra sana Afrika chatu kumeza mtu, kwa sababu binadamu hayupo kwenye menu yake, ila ukijichanganya utamezwa tu...
Hizi fikra gani?Ndo maana wanasiasa wanafanya wanavyotaka kwasababu ya watu wapumbavu kama wewe. Huoni kama UDSM na idara ya wanyamapori wangeweza kumaliza hilo tatizo kwa haraka bila kuleta taharuki? UDSM na Idara ya wanyamapori hawajatimiza wajibu wao.
Basihaya sehem gani mkuu? Naishi hukoChatu siyo hatari. Labda kama siyo chatu. BTW kuna nyoka amekuwa akionekana sana maeneo ya Dar huku Basihaya na ni siku nyingi. Hasa kipindi cha mvua. Ni mkubwa sana.
Kweli hakuna sababu ya msingi kumwua. Ila kama unavyojua waswahili tena; hawana dogo. Watazusha mtafaruku hapo na kila mmoja atajidai ni mjuzi wa mnyama huyo. Mm ningeshauri wahusika i.e. Maliasili -Wanyamapori wahusike kumhamishia mahali penye usalama kwake na kwa binadamu.i.e. wasilifumbie macho jambo hilo.Sasa kwanini umuue, kwanza chatu ni too friendly kama hajawa confroted, ndo maana wasukuma wanawafuga
Cha ajabu ni nini? Kwa mapori yote yale akakosekana chatu?
kabisa mie nashauri tawa na dar es salaam zoo washirikiane kumkamata na kumhamisha, pia kule bagamoyo kuna sehemu panaitwa snake park nao washirikishwe kumsaka, ila nawasiwasi usijekuta udam wamedahiri mtoto kutoka gamboshi au gambajiga hawa wanatabia ya kujigeuza chatu, hapa mshana jr atakuja atusaidieKweli hakuna sababu ya msingi kumwua. Ila kama unavyojua waswahili tena; hawana dogo. Watazusha mtafaruku hapo na kila mmoja atajidai ni mjuzi wa mnyama huyo. Mm ningeshauri wahusika i.e. Maliasili -Wanyamapori wahusike kumhamishia mahali penye usalama kwake na kwa binadamu.i.e. wasilifumbie macho jambo hilo.
Hiyo sehemu ilikuwa ya wanyama mbali mbali kuwepo chatu hapo kawaida tuHapo UDSM atakuwa ametoka pori gani??
Hahahahaa wale ngedere kama watu, wanaingia hadi vyumbani kuchukua vyakula mkiacha madirisha wazi.Na zile ngedere zinazoiba hadi chapati COET wazitoe.
OK. Lakini pia ukumbuke wanyama huweza kuhamia mahali au inawezekana katika harakati zake imetokea amefika hapo maeneo. Nyoka yeyote yule anajua sana kujificha. Nakumbuka iliwahi kutokea chatu kuonekana pale Chimala enzi hizo 1998 na watu wakaanzisha msako kutaka kumwua lakini cha kushangaza kazi ilianza asb hadi jioni na hakuonekana licha ya kutumia mbwa katika msako huo. Lakini tena baada ya siku 3 alionekana lakini hakuuawa (kwani hapakuwepo maandalizi) na hakuleta madhara yoyote na hatimaye alitoweka jumla.Nachukulia kama chatu anapatikana hapo mjini leo pengine miaka 17 iliyopita walikuwepo wengi zaidi manake hata hiyo Mlimani City ilikuwa pori tupu wakati nafanya jogging zangu usiku usiku.
Wewe mbona leo umekuwa mpumbavu sana? Una tatizo gani mkuu?Hizi fikra gani?
Yaani UDSM wasubir TAWA washughulike bila umma kujua kwamba eneo Hilo ni hatar?
Je unajua eneo hilo hutumika na wanafunzi muda wote?
Najaribu kupata picha ya Itakavyokuwa hao vijana wa W/Pori (Game officers) kizazi cha Dotcom watakavyojipanga kumsogelea huyo chatu ilhali wao wenyewe hata kumshika kinyonga ni mtihani- ni waoga mno kupita maelezo.kabisa mie nashauri tawa na dar es salaam zoo washirikiane kumkamata na kumhamisha, pia kule bagamoyo kuna sehemu panaitwa snake park nao washirikishwe kumsaka, ila nawasiwasi usijekuta udam wamedahiri mtoto kutoka gamboshi au gambajiga hawa wanatabia ya kujigeuza chatu, hapa mshana jr atakuja atusaidie
ππKwa yale mapori ya UD pale na wanafunzi hupenda sana kujilaza kwenye vivuli vya miti mida ya mchana maana kuna hali ya hewa nzuri kuna siku atamwezwa mwanazuoni mmoja chatu anageuka lecturer wallah.
Avatar yako imekuponza hadi ukaambiwa eti mbona leo umekuwa mpumbavu.Wewe mbona leo umekuwa mpumbavu sana? Una tatizo gani mkuu?
Hapana. Nyoka anawaogopa sana binadamu na mara nyingi hujitahidi kumkwepa binadamu ili wasikutane. Zingatia kwamba chatu ni mpole na hana sumu yoyote. Chatu hashambulii ila huwinda tu chakula chake. Sipati picha inakuwaje mwanachuo msomi licha ya tahadhari kutolewa bado yy anakuwa duwanzi kiasi hadi chatu amfikie karibu, kisa eti anapunga upepo.ππ