Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

Ukiona Manara kanyoa nywele, ujue hiyo mechi Yanga anaeshinda, hasa mechi kubwa. Mengine mumuulize yeye na wataalamu wa Yanga, tangu wamkorofishe, Yanga inasua sua, labda kwa kuwa hawazipati tena.

Na jana alikuwa Morogoro, anajifanya alikuwa Mikumi, kumbe kaanzia Kinole kuwapiga nuhusi Yanga. Mafundi wa mzungu wako milimani huko. Injinia na Kamwe waangalie, jamaa ameenda kuwapiga zile issue za toilet paper watu wawachukie. Lengo la kuja morogoro, ili likitokea, aseme jamani mimi hata Dar sikuwepo.

Safari ya Morogoro kaifanya kwa hisani ya Yusuph, akirudi utaona yeye na Dhailitha haooo, Dubai, maana kashafanikisha mchongo, baadae anauchukua usemaji wa Azam. Manara ambaye anaishi nyumba ya kupanga, japo alikuwa na fursa zote za kujenga, anaweza kufanya lolote lile abaki na maisha ya juu, maisha ambayo ni feki, na anaendeshwa na wanawake wanaotaka matumizi makubwa.

Wale wachezaji aliokuwa anawatumia kuichomesha Simba, kafanya mchongo wakahamia Yanga, na yeye kala pasenti yake, na anawaongoza kwa rimoti wachomeshe timu
 
Mashabiki wa Yanga hawako kama nyie makolo pimbi wewe. Yanga wanajitambua wanajua kuna kushinda na kushindwa na ku draw sometimes

Huwezi ona Yanga wanatafuta mchawi kama nyie. Mashabiki wa Yanga wametulia tu wanajua hilo ndio soka, wamekubali defeat na wanasonga mbele.

We bakia huko huko na mikolo myenzako kupiga ramli. Hakuna hujuma yoyote na wala hawatafuti mchawi Yanga so keep your mouth shut and leave Yanga alone
 
FB_IMG_17305772188323775.jpg
 
Kwa wiki nzima uwanja ulikuwa unawangiwa na wachawi wa lamu na pemba mfululizo kiasi yanga kuchomoka ingekuwa ngumu sana! Tunalaani uchawi, LET GO IN PROFESIONALISM FUTBOL!
::Hamkuona wachezaji walikuwa wamevurugika kiakili!?
Bullshit, hamna kitu kama hiko. Imagine EPL ingekuwa inaamini ushirikina wakifeli wangekuwa hapa?

Such mindset ndio zinakwamisha nchi. Team imekuwa exposed after red card , azam wametumia udhaifu huo.
Mkajipange upya

Mpira wa sasa hautaki kona kona
 
Back
Top Bottom