Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

Timu haijapata hata mapumziko mechi za mfululizo Azam amepata muda wa kumpunzika, halafu timu ifungwe utafute mchawi, mashabiki maandazi msiojua mpira
 
Mashabiki wa Yanga hawako kama nyie makolo pimbi wewe. Yanga wanajitambua wanajua kuna kushinda na kushindwa na ku draw sometimes

Huwezi ona Yanga wanatafuta mchawi kama nyie. Mashabiki wa Yanga wametulia tu wanajua hilo ndio soka, wamekubali defeat na wanasonga mbele.

We bakia huko huko na mikolo myenzako kupiga ramli. Hakuna hujuma yoyote na wala hawatafuti mchawi Yanga so keep your mouth shut and leave Yanga alone
Mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya Ali kamwe kuzaliwa
 
TUTAWEKA REKODI MPYA YA DUNIA KWA KUMALIZA LIGI HUKU TUKIWA TUMEFUNGWA GOLI MOJA TU.
Kuna timu mbili tu Tanzania ndizo zimechukua ubingwa bila kupoteza mechi hata moja.Azam na Simba.Jaribuni kwanza kufikia hizo rekodi kabla ya kuota ndoto za Ali Nacha.
 
Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana.
Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
Manara keshawakana mara kibao mnatafuta Kila sababu kumgombanisha na yanga lakini tunajua shida yenu, mnamlisha maneno ya kipuuzi but amtofanikiwa
 
Sijui ni ulimbukeni ama ushabiki maandazi lakini ni ujuha wa hali ya juu kutarajia matokeo ya ushindi kwa upande mmoja tu ikiwa kuna pande mbili za washindani.
 
Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana.
Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
MMm! Yanga akifunga sawa lkn akifungwa hujuma.Sindano ya Ampisilin huwa inasukumwa taratibu, acha iwaingie.
 

Attachments

  • FB_IMG_17309708311964663.jpg
    FB_IMG_17309708311964663.jpg
    157.5 KB · Views: 3
Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana.
Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
Brother mpira una matokeo matatu.. Si kila wakati timu ikipoteza ni hujuma
 
Back
Top Bottom