Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi furaha yangu yanga kafungwq na Tabora.. Mengine kwakweli siyajuiHuwa sipost kwa bahati mbaya brother...naujua mpira na nazijua timu hizi mbili kwa undani kabisa.
Tabora haina uwezo wa kuifunga Yanga.
Pye pyeeeeeeeeeeeee
Msikilize huyu nsanii na onyo lakeHuwa sipost kwa bahati mbaya brother...naujua mpira na nazijua timu hizi mbili kwa undani kabisa.
Tabora haina uwezo wa kuifunga Yanga.
Hata Mikumi ana mtu pia, ndio fundi wa yule bimkubwa mwenye mwenye sigda ya kwenda anae miliki kituo cha Yatima pale Sinza ( rafiki mkubwa sana wa mama ake Haji) Mtu mwenyewe ni wale waganga ambao wanaua kabisa yani jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwa. Wamama wa mjini Daslamu na Unguja wana mtumia sana kupora waume za watu.Ukiona Manara kanyoa nywele, ujue hiyo mechi Yanga anaeshinda, hasa mechi kubwa. Mengine mumuulize yeye na wataalamu wa Yanga, tangu wamkorofishe, Yanga inasua sua, labda kwa kuwa hawazipati tena.
Na jana alikuwa Morogoro, anajifanya alikuwa Mikumi, kumbe kaanzia Kinole kuwapiga nuhusi Yanga. Mafundi wa mzungu wako milimani huko. Injinia na Kamwe waangalie, jamaa ameenda kuwapiga zile issue za toilet paper watu wawachukie. Lengo la kuja morogoro, ili likitokea, aseme jamani mimi hata Dar sikuwepo.
Safari ya Morogoro kaifanya kwa hisani ya Yusuph, akirudi utaona yeye na Dhailitha haooo, Dubai, maana kashafanikisha mchongo, baadae anauchukua usemaji wa Azam. Manara ambaye anaishi nyumba ya kupanga, japo alikuwa na fursa zote za kujenga, anaweza kufanya lolote lile abaki na maisha ya juu, maisha ambayo ni feki, na anaendeshwa na wanawake wanaotaka matumizi makubwa.
Wale wachezaji aliokuwa anawatumia kuichomesha Simba, kafanya mchongo wakahamia Yanga, na yeye kala pasenti yake, na anawaongoza kwa rimoti wachomeshe timu
Kwa Kikwete atoboi atapotea muda sio mrefu watu wawekeze mamilioni uwaletee mauza uza atapotea kwenye ramani ya Tanzania sio muda ajichekiUkiona Manara kanyoa nywele, ujue hiyo mechi Yanga anaeshinda, hasa mechi kubwa. Mengine mumuulize yeye na wataalamu wa Yanga, tangu wamkorofishe, Yanga inasua sua, labda kwa kuwa hawazipati tena.
Na jana alikuwa Morogoro, anajifanya alikuwa Mikumi, kumbe kaanzia Kinole kuwapiga nuhusi Yanga. Mafundi wa mzungu wako milimani huko. Injinia na Kamwe waangalie, jamaa ameenda kuwapiga zile issue za toilet paper watu wawachukie. Lengo la kuja morogoro, ili likitokea, aseme jamani mimi hata Dar sikuwepo.
Safari ya Morogoro kaifanya kwa hisani ya Yusuph, akirudi utaona yeye na Dhailitha haooo, Dubai, maana kashafanikisha mchongo, baadae anauchukua usemaji wa Azam. Manara ambaye anaishi nyumba ya kupanga, japo alikuwa na fursa zote za kujenga, anaweza kufanya lolote lile abaki na maisha ya juu, maisha ambayo ni feki, na anaendeshwa na wanawake wanaotaka matumizi makubwa.
Wale wachezaji aliokuwa anawatumia kuichomesha Simba, kafanya mchongo wakahamia Yanga, na yeye kala pasenti yake, na anawaongoza kwa rimoti wachomeshe timu
Hahaha umetumia code ngumu, Kinole ni mtaani kwangu, huwa naenda mara kwa mara mno. Maeneo ka kidimbwi
Beach kule nyachiro hahaha
Huwezi kujua wewe ila mpira wa Afrika unambo mengi sana nje ya uwanja.Brother mpira una matokeo matatu.. Si kila wakati timu ikipoteza ni hujuma
Acha ubishi hata uswahili ktk ndondo inafanyika sana ndumba na timu zinatiboa kwenye mechi zao.Bullshit, hamna kitu kama hiko. Imagine EPL ingekuwa inaamini ushirikina wakifeli wangekuwa hapa?
Such mindset ndio zinakwamisha nchi. Team imekuwa exposed after red card , azam wametumia udhaifu huo.
Mkajipange upya
Mpira wa sasa hautaki kona kona
Ngoja mpumzike hata mwaka halafu mje mgongwe ndiyo utajua kuwa haikuwa uchovu wa kawaida.Timu haijapata hata mapumziko mechi za mfululizo Azam amepata muda wa kumpunzika, halafu timu ifungwe utafute mchawi, mashabiki maandazi msiojua mpira
Unafananisha ndondo na ligi kuu? Na EPL? embu grow up manAcha ubishi hata uswahili ktk ndondo inafanyika sana ndumba na timu zinatiboa kwenye mechi zao.
Hataligi KUU wanafanya sana ulozi siku ukijionea kwa macho nadhani utaamini.Unafananisha ndondo na ligi kuu? Na EPL? embu grow up man
Manara anacheza nafasi gani? Au ana nafasi ipi kwenye uongozi?Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana.
Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
Labda ligi kuu ya bongo, mpira wa sasa unataka uwekezaji si blah blah. Hamna kona kona hapaHataligi KUU wanafanya sana ulozi siku ukijionea kwa macho nadhani utaamini.