Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

Ukiona Manara kanyoa nywele, ujue hiyo mechi Yanga anaeshinda, hasa mechi kubwa. Mengine mumuulize yeye na wataalamu wa Yanga, tangu wamkorofishe, Yanga inasua sua, labda kwa kuwa hawazipati tena.

Na jana alikuwa Morogoro, anajifanya alikuwa Mikumi, kumbe kaanzia Kinole kuwapiga nuhusi Yanga. Mafundi wa mzungu wako milimani huko. Injinia na Kamwe waangalie, jamaa ameenda kuwapiga zile issue za toilet paper watu wawachukie. Lengo la kuja morogoro, ili likitokea, aseme jamani mimi hata Dar sikuwepo.

Safari ya Morogoro kaifanya kwa hisani ya Yusuph, akirudi utaona yeye na Dhailitha haooo, Dubai, maana kashafanikisha mchongo, baadae anauchukua usemaji wa Azam. Manara ambaye anaishi nyumba ya kupanga, japo alikuwa na fursa zote za kujenga, anaweza kufanya lolote lile abaki na maisha ya juu, maisha ambayo ni feki, na anaendeshwa na wanawake wanaotaka matumizi makubwa.

Wale wachezaji aliokuwa anawatumia kuichomesha Simba, kafanya mchongo wakahamia Yanga, na yeye kala pasenti yake, na anawaongoza kwa rimoti wachomeshe timu
1000015013.jpg
 
Lipo jambo hapo yanga, mwanadarusamu manara analijua fika, na mpika majungu analijua fika, katika lugha nyepesi, KAMWE akae pembeni, MANARA, aingie, kinachotumika hapa ni ufundi wa kidaresalamu tu!, yanga ilivyocheza Jana HAKIKA siyo yanga yetu, let fix this earlier!. (hao akina manara toka babu yao wakati wakikaa malapa hapo Buguruni nani asiyewajua?)
 
Linahitaji kufanyiwa kazi haraka mno Yanga Yetu iendelee kutupa burudani
 
Back
Top Bottom