Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

Timu haijapata hata mapumziko mechi za mfululizo Azam amepata muda wa kumpunzika, halafu timu ifungwe utafute mchawi, mashabiki maandazi msiojua mpira
 
Hahaha umetumia code ngumu, Kinole ni mtaani kwangu, huwa naenda mara kwa mara mno. Maeneo ka kidimbwi
Beach kule nyachiro hahaha
Nashukuru kwa kunielewa
 
Mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya Ali kamwe kuzaliwa
 
TUTAWEKA REKODI MPYA YA DUNIA KWA KUMALIZA LIGI HUKU TUKIWA TUMEFUNGWA GOLI MOJA TU.
Kuna timu mbili tu Tanzania ndizo zimechukua ubingwa bila kupoteza mechi hata moja.Azam na Simba.Jaribuni kwanza kufikia hizo rekodi kabla ya kuota ndoto za Ali Nacha.
 
Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana.
Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
Manara keshawakana mara kibao mnatafuta Kila sababu kumgombanisha na yanga lakini tunajua shida yenu, mnamlisha maneno ya kipuuzi but amtofanikiwa
 
Sijui ni ulimbukeni ama ushabiki maandazi lakini ni ujuha wa hali ya juu kutarajia matokeo ya ushindi kwa upande mmoja tu ikiwa kuna pande mbili za washindani.
 
Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana.
Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
MMm! Yanga akifunga sawa lkn akifungwa hujuma.Sindano ya Ampisilin huwa inasukumwa taratibu, acha iwaingie.
 
Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana.
Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
Brother mpira una matokeo matatu.. Si kila wakati timu ikipoteza ni hujuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…