Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

Brother mpira una matokeo matatu.. Si kila wakati timu ikipoteza ni hujuma
Huwa sipost kwa bahati mbaya brother...naujua mpira na nazijua timu hizi mbili kwa undani kabisa.
Tabora haina uwezo wa kuifunga Yanga.
 
Huwa sipost kwa bahati mbaya brother...naujua mpira na nazijua timu hizi mbili kwa undani kabisa.
Tabora haina uwezo wa kuifunga Yanga.
Msikilize huyu nsanii na onyo lake
Your browser is not able to display this video.
 
Unataka Manara apewe kocha?? Acha uchawa wewe, manara ni mtu wa hovyo na msaliti anayejali tumbo lake, leo anaweza kuwa Yanga kesho akatuacha solemba. Timu ikihitaji kujiboresha itasajili mchezaji sio mpiga domo kama unayempigia debe
 
Manara ndio nyani wa pori la wapi ?
 
Hata Mikumi ana mtu pia, ndio fundi wa yule bimkubwa mwenye mwenye sigda ya kwenda anae miliki kituo cha Yatima pale Sinza ( rafiki mkubwa sana wa mama ake Haji) Mtu mwenyewe ni wale waganga ambao wanaua kabisa yani jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwa. Wamama wa mjini Daslamu na Unguja wana mtumia sana kupora waume za watu.

Injinia Hersi bora uende ukamuombe Haji msamaha. Ulimdhalilisha sana uliposema " Sio msemaji wa Yanga" mbele ya media bila hata kumtaarifu. Haji aliumia sana sauti yake ya ndani kwenye interview aliyo ifanya baasa ya Injinia kusema " Haji sio msemaji wa Yanga" ilisadifu kilichomo ndani yake.

Injinia usipomuangukia Haji, mambo yatakuwa mabaya zaidi.

Haji ni kijukuu cha mtume
 
Kwa Kikwete atoboi atapotea muda sio mrefu watu wawekeze mamilioni uwaletee mauza uza atapotea kwenye ramani ya Tanzania sio muda ajicheki
 
Ukienda tena niambie
nilipita mara moja kuna mahala nikaona kama ka water fall safii aisee nilipatamani
Ukipita pale darajani unapoacha njia ya kuingia kinole
Hahaha umetumia code ngumu, Kinole ni mtaani kwangu, huwa naenda mara kwa mara mno. Maeneo ka kidimbwi
Beach kule nyachiro hahaha
 
Bullshit, hamna kitu kama hiko. Imagine EPL ingekuwa inaamini ushirikina wakifeli wangekuwa hapa?

Such mindset ndio zinakwamisha nchi. Team imekuwa exposed after red card , azam wametumia udhaifu huo.
Mkajipange upya

Mpira wa sasa hautaki kona kona
Acha ubishi hata uswahili ktk ndondo inafanyika sana ndumba na timu zinatiboa kwenye mechi zao.
 
Timu haijapata hata mapumziko mechi za mfululizo Azam amepata muda wa kumpunzika, halafu timu ifungwe utafute mchawi, mashabiki maandazi msiojua mpira
Ngoja mpumzike hata mwaka halafu mje mgongwe ndiyo utajua kuwa haikuwa uchovu wa kawaida.
 
Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana.
Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
Manara anacheza nafasi gani? Au ana nafasi ipi kwenye uongozi?
Au bado mnalichezesha soka lenu kwa nguvu ya giza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…