Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

 
Lipo jambo hapo yanga, mwanadarusamu manara analijua fika, na mpika majungu analijua fika, katika lugha nyepesi, KAMWE akae pembeni, MANARA, aingie, kinachotumika hapa ni ufundi wa kidaresalamu tu!, yanga ilivyocheza Jana HAKIKA siyo yanga yetu, let fix this earlier!. (hao akina manara toka babu yao wakati wakikaa malapa hapo Buguruni nani asiyewajua?)
 
Linahitaji kufanyiwa kazi haraka mno Yanga Yetu iendelee kutupa burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…