Alijaribu kulinganisha vyama vyote ,alichogundua ni kuwa ccm kwa mbali mnoooo ni chama bora,kwa hakuwa na jinsi...Upendo Peneza na Petrobas Katambi waligombea Uenyekiti wa Bavicha. Sasa hivi wote wamehamia Ccm.
..Huyu Dada kama hakuridhika na Chadema kwanini hakuhamia chama kingine cha upinzani?
..Mimi simuelewi anapojiunga na chama alichokipinga kwa muda mrefu, na chenye watu waliomdhalilisha kijinsia.
Alijaribu kulinganisha vyama vyote ,alichogundua ni kuwa ccm kwa mbali mnoooo ni chama bora,kwa hakuwa na jinsi.
Tupe hadithi tusikie ! Amesemaje?Hawezi kuwa anaongea ya uongo yote. Suala la Mbowe na kina Mdee amesema kweli.
Sasa COVID 19 si waliteuana wenyewe tu kwanini awachukie CDM.Hilo liko wazi, hata tone yake inadhibitisha hilo. Halafu ni kama anaghadhabu ya kutopata nafasi kwenye wale COVID-19.
nimemsikiliza mwanzo mwisho hakuna cha maana alichosema zaidi ya kunyimwa uenyekiti umoja wa vijana na kupewa Katambi.Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Umalaya na kusema ukweli ni vitu viwili tofauti mkuu!Tangu zamani nilisema huyo mtoto ni malaya watu walinibeza...huyo akina Nusrat walikua good for nothing!!
Unaweza ukawa na uchumi mzuri na bado ukawa huna kiasi. Kwake ameona kabisa kama huko cdm anakutana na mizengwe na Hana uwezo wa kupata cheo, ni bora ahamie ccm ambako anaweza kupewa cheo amalize kiu yake.Sasa COVID 19 si waliteuana wenyewe tu kwanini awachukie CDM.
Angekuwa na uchumi mzuri asingehangaika kutafuta vyeo kwa kuzungumza hata uongo.
Bahati mbaya nchi haina maadili tena ya uongozi hakustahili hata nafasi za uongozi tena
Mbona Kabanwa atoe Sababu hasa ya kuondoka CDM kashindwa kutoka. Mimi sijasikia alipomuanika Mbowe jipya zaidi ya Why alishirikiana na baadhi ya Wabunge 19 kwenye Harambee. Nazani Kuna Maisha nje ya SiasaDada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Naona malaya uko kwenye active recruitmentMalaya ni malaya tu mkuu
Sababu ya kuondoka katoa, labda kama sio sababu unayoiamini.Mbona Kabanwa atoe Sababu hasa ya kuondoka CDM kashindwa kutoka. Mimi sijasikia alipomuanika Mbowe jipya zaidi ya Why alishirikiana na baadhi ya Wabunge 19 kwenye Harambee. Nazani Kuna Maisha nje ya Siasa
Mkuu Lusungo , naomba usiniumize ...Tangu zamani nilisema huyo mtoto ni malaya watu walinibeza...huyo akina Nusrat walikua good for nothing!!
Hakuna mtu amesema Nakupinga au nakuunga mkono kwa suala la Mwenyekiti kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi.Naona unachanganya chuki na misimamo yangu. Tafuta popote ninapomtukana Mbowe, hadi useme nikiona anatukanwa napata faraja. Suala la Mimi kutokubaliana na kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 ni la principle zaidi. Kwenye hili sihitaji support ya yoyote, au kukubalika kwa yoyote.
Ni rahisi zaidi CDM kwake yeye kupata cheo tena bila uchawa kuliko ccm.Unaweza ukawa na uchumi mzuri na bado ukawa huna kiasi. Kwake ameona kabisa kama huko cdm anakutana na mizengwe na Hana uwezo wa kupata cheo, ni bora ahamie ccm ambako anaweza kupewa cheo amalize kiu yake.
Hoja ya msingi ni kueleza sera za chama chake kipya na kukisaidia kiendelee kushika dola.Mkuu Lusungo , naomba usiniumize ...
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
- Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
- Kwa wasio mfahamu, kumfahamu zaidi na anasimamia nini, karibuni mitaa hii
P
- Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
- Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
- Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
- Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
- Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
- Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
- Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
- Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
- Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
- Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
- Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
- Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
- Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
Duh...Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Mkuu sweya lugendo, naunga mkono hoja, CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?, nimependekeza huyu binti asimamishwe na Chadema, EALA!. Mnaonaje?Ni kijana binti mdogo mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kitaifa na kimataifa,huwezi kumsikiliza usimpongeze vinginevyo uwe na wivu uliopitiliza mno.
Nawasilisha kama kuna mwenye kumfahamu zaidi amwagike.
Asingeweza; hakuwa na mamlaka hayo. Teknik ya hayati JPM ya kuufuta upinzani ilikuwa ni utendaji kazi uliotukuka, uliokuwa unapelekea wapinzani wahame wenyewe kutoka upinzani kurudi CCM
Ila Magu alikuwa boya Sana, unaiba uchaguzi halafu miezi mitatu unadedi na kumuachia mtu mwingine. Very stupid. Leo kaacha bunge la kijinga.Asingeweza; hakuwa na mamlaka hayo. Teknik ya hayati JPM ya kuufuta upinzani ilikuwa ni utendaji kazi uliotukuka, uliokuwa unapelekea wapinzani wahame wenyewe kutoka upinzani kurudi CCM
Huyo ana frustrations nyingi tu. Arudi maisha plus.CHADEMA wavumilie kwasababu wao ndo wamemfundisha huyo Peneza matusi. CHADEMA ni chama kikuu cha matusi. Acha Peneza awape dawa.
Ametumwa na ccm huyu danga wa kisiasa.Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Haha, najua wasukuma hamnaga mwanamke mweupe malaya machoni penu au mtoto mzuri kama huyo au Nusrat.... but was good for nothing!! I know her personally.Mkuu Lusungo , naomba usiniumize ...