Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ni msaliti kwa wala rushwa wenzake. Wamfukuze CHADEMA
 
Amesema kuhusu pesa walizokuwa wanachangishwa wao kama wabunge, hawafahamu zimetumika kufanya Nini. Na ni kweli hizi pesa zimekuwa zikitolewa porojo. Huyu Upendo kwakuwa ana hasira ataongea mengi ya hasira, lakini humo ndani tutapata ukweli.
Aache uongo. Hajui zinaenda wapi?. Aongee ukweli huyo Malaya wa kisiasa.
 
Hata Mimi nimeshangaa mbona hili lilishafanyiwa upepelelezi likapita. Leo ndio linaibuliwa Tena.
 
Mkuu tuna uwezo wa kujua ukweli ni upi, na propaganda ni zipi.
 
Huyo dada amefanya ujinga Sana. CHADEMA kilimpa viti maalumu na 2020 wakampitisha kugombea ubunge Geita Mjini almanusra ashinde , chama kikamsupport. Leo kageuka chama anakipiga mateke. Akumbuke Slaa alichofanya na Leo anataka kurudi kwenye chama.
 
Tangu zamani nilisema huyo mtoto ni malaya watu walinibeza...huyo akina Nusrat walikua good for nothing!!
Malaya wa Siasa au Malaya wa Ngono?

Kama ni Siasa, hiyo ni kawaida kabisa kwa wanasiasa wa Afrika hasa Tanzania ndio washika bendera ya umalaya wa kisiasa. Inafahamika.

Na hata umalaya wa kingono, kwani sio kweli kwamba ndio hitaji moja wapo la wanasiasa (wanachama na viongozi wao)? Au ni uzushi tu?

Wengine watakwambia ni usalama wa Taifa alikuwepo kwa sababu maalum.

TZ Polifixes.
 
Ulitaka aseme zimetumika vizuri?. Lazima aongee negative ili apewe ukuu wa wilaya. Maana kachoka Sana.
 
Mkuu achana na Takukuru, hiyo sio taasisi unayoitegemea kufanya lolote la weledi
We jamaa una chuki sana na Mbowe sijui alikufanya nini.
Wewe ni miongoni mwa wanachadema wachache wanaofurahia Mbowe akitukanwa hadharani kwa tuhuma ambazo hazijawahi thibitishwa.
Unadhani kwa kufanya hivyo ndiyo utaonekana objective humu Jamii Forum.
Acha hizo.
 
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Vipi kuhusu kuambatana na yule mheshimiwa wakati wa ziara za mheshimiwa kanda ya ziwa wakati ule? Mbona hazielezei? Angefunguka pia kuhusu alichokuwa amekubaliana na yule mheshimiwa wa serikali na chama tawala
 
Ni kweli mkuu, lakini haipunguzi ukweli wa baadhi ya ayasemayo.
Ukweli upi?. Ulitegemea aongee tofauti na hayo?. Lazima aikande CHADEMA.
Hakuna ukweli wowote. Ana frustrations zake zinamsumbua.
 
Kila alieondoka Chadema anamsingizia Mbowe !!!!
Najua uchaguzi uakaribia hivo watu lazma wajikombe wapate nafasi
 
Hakuna uwezekano wa yeye kusema ukweli akiwa ndani ya cdm. Lakini hiyo haiondoi ukweli sasa kuwa Kuna baadhi ameongea ya kweli. Ni juu ya cdm kama taasisi kufanyia kazi mapungufu aliyosema, Ili cdm iwe taasisi bora zaidi.
Mbona Lissu kakisema chama hadharani kuwa Kuna wagombea wamepewa pesa na mama Abdul?. Na mbona tumemuunga mkono kwa hiyo kauli. Huyo Peneza aliahidiwa cheo Sasa muda unaenda haoni kitu, ndio maana anapiga kelele wamsikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…